Viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mkoa Arusha hawakuwa wakisikika kabisa wakati wa kampeni.Mwigulu anatakiwa kubeba huu mzigo wa kushindwa.Awajibishwe kwa utaratibu wa chama.Kuna vijana wengi waaminifu,wasomi na wastaarabu ndani CCM Arusha,ambao wanafahamu utamaduni na hulka ya watu wa Arusha,ila Mwigulu aliamua kutumia nafasi yake ndani ya chama kuwatumia Shonza na Mwampamba kuwa timu yake ya kampeni.Kwa nini waliotimuliwa kutoka vyama vingine hasa CDM kuwa ndo lulu ya ushindi?Wale vijana waaminifu muda wote wanakata tamaa,kwani wanadhalilika.