environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Yaani wafukuzwe kwa sababu walishindwa kuiba kura????.Jamani ccm kweli wamekwisha ,huruma ,huruma ,huruma .ccm inapotea kwenye ramani ya Tanzania kwa kasi ya ajabu.
ni kweli mkuu kuna mwenyekiti wa magamba anaitwa Oddo mwisho, ni fisadi wa kufa mtu!Suala sio kujiuzulu mpango ni kuiondoa ssiemu madalakani.mtz mwenzangu ccm imechoka sio arusha tu hadi ruvuma wana ccm wanalaumiana
2015 majengo mengine hawatakuwa nayo ,yatarudishwa kwa umma.
. . . . Au tuyafanye hayo majengo yao MUSEUMS mkuu asakuta same.
Huwa wanajaziliza, Si umeona uzi wa nia ya kutaka kukataa rufaa ulioeleza mazungumzo ya kikao cha siri jana? Mabalozi 34 wamepoteza shahada 20,000