Arusha Usiku huu mvua kubwa na Radi

Arusha Usiku huu mvua kubwa na Radi

Dar kuna joto
Hadi kero....

Nadhani mpaka wale wachina pale Ubungo wamalize ile kazi ndipo mvua inyeshe kubwa
 
Dah na miss chuga sana na mvua ya radi. Yani ndio ianzie Friday night umenunua na kuweka msosi na madikodiko yote ya weekend hamna kutoka nje hadi Monday morning huku hupo na demu wako ndani ya blanket ameegemeza kichwa kifuani mwako baada ya mechi kali akisikia mapigo ya moyo. Darini paa la bati likia kwa sauti.

Dah namkumbuka Asha nusu mrangi na mpare.

Haya maisha maamaee

CcYamakagashi
........
....... Hahaha Mkuu
 
Nje ya mada mkuu bushland. Nielekeze hapo Arusha sehemu ambayo naweza kupata guest house ya bei chee, nategemea kuja huko Alhamis 1/5/2019 ila sina hela nyingi nataka nikae kiguest cha kupata usingizi tu ila kisiwe na vibaka
......
...... Shuka stand kubwa ulizia Arusha star Levolosi kwenye huo mtaa kuna vigesti bei powa na ni town jombaa
 
Nalijua asee lile la mbao ndo limesombwa na maji!?lile linaunganisha engo na kikokwaru kama sjakosea
Hilo hilo kuna vijana Wali weka Daraja lao kulipa 200 kila kichwa leo hadi kesho ndo hivo hivo
 
Hilo hilo kuna vijana Wali weka Daraja lao kulipa 200 kila kichwa leo hadi kesho ndo hivo hivo
Sema hicho kipande linahitaji daraja lenye hadhi coz inaunganisha lemara na engo pamoja na ungalimited pigeni kelele serekali yenu ya ccm inaweza ikawasikiliza.
 
Back
Top Bottom