Arusha Usiku huu mvua kubwa na Radi

Arusha Usiku huu mvua kubwa na Radi

Nje ya mada mkuu bushland. Nielekeze hapo Arusha sehemu ambayo naweza kupata guest house ya bei chee, nategemea kuja huko Alhamis 1/5/2019 ila sina hela nyingi nataka nikae kiguest cha kupata usingizi tu ila kisiwe na vibaka
 
Dah na miss chuga sana na mvua ya radi. Yani ndio ianzie Friday night umenunua na kuweka msosi na madikodiko yote ya weekend hamna kutoka nje hadi Monday morning huku hupo na demu wako ndani ya blanket ameegemeza kichwa kifuani mwako baada ya mechi kali akisikia mapigo ya moyo. Darini paa la bati likia kwa sauti.

Dah namkumbuka Asha nusu mrangi na mpare.

Haya maisha maamaee

CcYamakagashi
Fanya kazi, acha kuwaza ujinga....
 
Radi imetukatia umeme tangu saa 7 usiku. TANESCO naomba mrekebishe maana simu inaisha charge nataka niwasiliane na mupenzi!
 
Nje ya mada mkuu bushland. Nielekeze hapo Arusha sehemu ambayo naweza kupata guest house ya bei chee, nategemea kuja huko Alhamis 1/5/2019 ila sina hela nyingi nataka nikae kiguest cha kupata usingizi tu ila kisiwe na vibaka
Mkuu hakuna sehemu hata moja ambayo Haina vibaka Arusha, awe mwanamke au mwanaume, wote matapeli na wezi, shukia mianzini ndo angalau guest bei poa
 
Lile linalounganisha lemara na engo ya sinoni, wengi hawakuenda kazini leo, walikosa PA kupita,
Mi sio chaliii jombaaa, MI jikeshupa
Nalijua asee lile la mbao ndo limesombwa na maji!?lile linaunganisha engo na kikokwaru kama sjakosea
 
Lile linalounganisha lemara na engo ya sinoni, wengi hawakuenda kazini leo, walikosa PA kupita,
Mi sio chaliii jombaaa, MI jikeshupa
Kwani ukiwa jike huwezi kua Chalii!?
 
Back
Top Bottom