Arusha Usiku huu mvua kubwa na Radi

Arusha Usiku huu mvua kubwa na Radi

Yaan ni hatar Barbara ya Moshi arusha haipitiki tupo hapa kwa wasomali mabasi yote ya mikoani yamekwama
Hii post ina wiki sasa! Usiku wa kuamkia leo mvua imenyesha almost arusha nzima
 
Poleni sana kwa mvua na hongerni kwa mvua kilimo kiendelee kupanda mazao na kupanda watoto
 
Nje ya mada mkuu bushland. Nielekeze hapo Arusha sehemu ambayo naweza kupata guest house ya bei chee, nategemea kuja huko Alhamis 1/5/2019 ila sina hela nyingi nataka nikae kiguest cha kupata usingizi tu ila kisiwe na vibaka
nje ya mada .. vp Mkuu unakuja kwenye mkutano wetu ule nini? ukijibiwa nitag plz
 
Wakuu hapa kuna mvua kubwa kweli kweli Pomoja na radi, imeanza tangu mida ya saa tano,Tuombeane uzima

Update
Hii mvua iliyonyesha leo Jumanne. Hapa haijawahi kutokea.
Kiongozi tulia uandike vizuri, ni pamoja sio pomoja.
 
Dah na miss chuga sana na mvua ya radi. Yani ndio ianzie Friday night umenunua na kuweka msosi na madikodiko yote ya weekend hamna kutoka nje hadi Monday morning huku hupo na demu wako ndani ya blanket ameegemeza kichwa kifuani mwako baada ya mechi kali akisikia mapigo ya moyo. Darini paa la bati likia kwa sauti.

Dah namkumbuka Asha nusu mrangi na mpare.

Haya maisha maamaee

CcYamakagashi
Huyo Asha nusu mrangi ndio huyu anaeuza supu ya makongoro hapa Chalinze? Maana na huyu anasema alikua Arusha
 
Wakuu hapa kuna mvua kubwa kweli kweli Pomoja na radi, imeanza tangu mida ya saa tano,Tuombeane uzima

Update
Hii mvua iliyonyesha leo Jumanne. Hapa haijawahi kutokea.
Kwani rais yupo huko?
 
Wakuu hapa kuna mvua kubwa kweli kweli Pomoja na radi, imeanza tangu mida ya saa tano,Tuombeane uzima

Update
Hii mvua iliyonyesha leo Jumanne. Hapa haijawahi kutokea.
Mnajua mnachosha sasa! Nilipoingia zamu ya kufungulia mvua nilikuta order zenu za maombi ya mvua kama million 40 hivi ziko mezani na zimeshasainiwa! Namuda wakufungulia na kufunga bomba! Mafaili ya wenzenu yako pending! Acheni mambo ya ajabu nakwa taarifa yenu naleo usiku mimi ndio naingia shift tena!
 
Wakuu hapa kuna mvua kubwa kweli kweli Pomoja na radi, imeanza tangu mida ya saa tano,Tuombeane uzima

Update
Hii mvua iliyonyesha leo Jumanne. Hapa haijawahi kutokea.

Tuwekee picha ya radi na hiyo mvua ili tukuamini.
 
Maarifu wote mmeshindwa hata picha tu kweli jmn
 
......
...... Shuka stand kubwa ulizia Arusha star Levolosi kwenye huo mtaa kuna vigesti bei powa na ni town jombaa
Ahsante. nilipata Arusha Night Park. Ila kuna kelele. ni shida tu ya hela. hahahaah
 
Back
Top Bottom