atadakwa tu siku atakayogusa simu tu wanaye ila polisi wana mbinu aisee nimewavulia kofiaSiku za aliye fanya huo.ujinga zinahesabika.
Wengi ni trafic wa barabarani. Kitu ambacho kwenye nchi yenye mipango bora, kililtkiwa kifanywe kwa kiasi kikubwa na mfumo wa Camera na stragegic cordination ya security network katika kuwatia mbaroni waharibifu mabarabarani mara zingine hata wal bila kujua. Hawa wengine wafanye ulinzi halali.Inaonekana polisi wako wachache sana kwenye nchi hii yenye raia zaidi ya milioni 60
Wewe si Mungu?Hii haiko sawa kabisa.nadhani ukweli utajulikana.yaani askari polisi alikwenda kumkamata mtuhumiwa usiku akiwa peke yake? Halafu aliyemuua police ni jirani ambaye naye ni jambazi.So huo mtaa ni wa waharifu.Tuelezane ukweli tuu,Hesabu zote zinanigomea hapa
polisi wenye mbinu hawa polisiccm, walioweka taaluma mifukoni na kuamua kufanya kazi za siasa.atadakwa tu siku atakayogusa simu tu wanaye ila polisi wana mbinu aisee nimewavulia kofia
Kuna kitu kinafichwaHii haiko sawa kabisa.nadhani ukweli utajulikana.yaani askari polisi alikwenda kumkamata mtuhumiwa usiku akiwa peke yake? Halafu aliyemuua police ni jirani ambaye naye ni jambazi.So huo mtaa ni wa waharifu.Tuelezane ukweli tuu,Hesabu zote zinanigomea hapa
Ugoni huo aiseeAskari polisi katika kituo kidogo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru,Mkoani hapa,ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati akijaribu kumkamata mtuhumiwa.wa wizi.
Tukio hilo limetokea Jana majira ya saa tano usiku katika Kijiji Cha Makiba wakati Askari huyo( jina linahifadhiwa) alipoenda nyumbani kwa mhalifu kwa lengo la kumkamata .
Kwa mujibu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kamishina msaidizi wa Polisi ACP-Justine Masejo askari huyo alifariki dunia muda mfupi baada ya kuvunja damu nyingi.
"Askari wetu katika kituo kidogo Cha polisi Mbughuni alikatwa panga kichwani na kufariki dunia baada ya kwenda nyumbani kwa mhalifu majira ya saa tano usiku lengo la kumkamata ,hivi Sasa polisi wanaoendesha operesheni ya kumsaka ili afikishwe kwenye vyombo vya dola"alisema Masejo
Kamanda alifafanua kwamba askari huyo alienda Nyumbani kwa mtuhumiwa kwa nia ya kumkamata kuhusiana na matukio ya wizi wa mazao na kwamba wakati akijaribu kumkamata ndipo alipotokea mhalifu mwingine Nyumba ya jirani ambaye alimkata panga moja kichwani askari huyo nakupoteza Maisha.
Aidha Masejo aliongeza kuwa kabla ya tukio hilo mwananchi mmoja alifika katika kituo cha polisi Mbughuni kulalamika.juu ya mtuhumiwa wa wizi wa mazao yake ambapo polisi walianza msako wa kumvizia mtuhumiwa huyo.
Alisema kuwa mtuhumiwa huyo ambaye jina lake limehifadhiwa kwa uchunguzi,aliweza kufanikiwa kutoroka baada ya tukio hilo na polisi wameanzisha msako Mkali dhidi ya Watuhumiwa hao .
Ends
Jina la aliyefariki je? Au familia yake bado haijataarifiwa?Polisi wa bongo vichwa mbuzi sana. Sasa jina la mtuhumiwa aliekimbia unaficha ili iweje? 😂😂😂
Kumbe alikuwa anamsotsia mtu mloo...Kafumaniwa.
Mamndenyi kwani ulikuwepo ? Shauri zako
polisi aliwahi kunikamata na pikipiki saa 2 za usiku eti anakagua makosa ya pikipiki na pikipiki alikuta imepaki nyumbani.Anaendaje polisi mmoja kukamata mwizi saa tano usiku! Polisi wengine hakuna wa kusaidiana?
Mbonyi maeKafumaniwa.
Mamndenyi kwani ulikuwepo ? Shauri zako
Mwenyekiti/Balozi hakuwepo wakati wa ukamataji?Saa tano usiku?alienda kwa lengo la kupokea rushwa huenda muuaji hakumwelewa vizuri
Yawezekana hajawashirikishaMwenyekiti/Balozi hakuwepo wakati wa ukamataji?