Ako Kwaang
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 324
- 259
Kirahisi rahisi tu unatutukana? Kulikoni?ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!
Sasa unataka kufananisha mtwara na arusha jamani, haya sema ni sehemu ipi ya mtwara unaweza fananisha na sehemu ipi ya arusha?
ujuaji kila kitu mwajifanya mwaju.mwajifanya nyie ndio mmesoma hata kama hajaenda shule.ugomvi kupenda mob justice.kujisifia eti ninapesa hata kama hana.vijana wengi bang tu.bar zote vurugu.mji mchafu.mdogo umekaa kiswahili lakini sifa mnazo upa!
Kwani huko si ndo kwenye mabilionea kibao?
Kirahisi rahisi tu unatutukana? Kulikoni?
Ulipokuja Ar wamekusukutua nini?. Mbona unangaka namna hiyo?.
Ulipokuja Ar wamekusukutua nini?. Mbona unangaka namna hiyo?.
Kiukweli nilivyokuwa naisikia Arusha na nilivyofika ile picha niliyokuwa nayo kichwani kutokana na kusikia jiji hilo na sifa zake haikwendana kabisa. Nipa kaaida sana, Kilichopo ni uwepo wa watu wa mataifa mbalimali, Watalii wa mbuga na Mlima kilimanjaro tu. Lakini kwa mjini ni kawaida sana!
Kumbe Mlima Kilimanjaro siku hizi upo Arusha??? Geography itakua ulipata A!!