Arusha na CCM

Arusha na CCM

Wewe endlea na itikadi zako zaki zee tuone kama watu na vijana wa taifa hili bado wamelala, walikuwa wameganda kimawazo kama wewe ila hivi sasa wame yeyuka. Sasa hivi tupo karne nyingne

Mkuu maccm hayataki kuukubali ukweli kwani ni mchungu,ila itabidi wakubali tu haina jinsi,na siyo arusha na Kilimanjaro tu,pia songea,mbeya,pia na mikoa mingine kibao
 
umenena mkuu kwa upepo ulivyo ccm kaskazin haitapata kitu
 
Mkuu tangia enzi na enzi watu wa kaskazini wamekuwa wanabaguliwa wazi wazi kabisa na ccm...na mwaka huu ndo muda wa kuwaonyesha kuwa watu aa kaskazini wana msimamo....na msimamo wauonyeshe kwenye sanduku la kura...ccm wasipate kitu kuanzia udiwani..ubunge..mpaka uraisi...

Mkuu tunaomba ujumbe huu uenee sawa na moto wa kifuu kwa wananchi wapenda mageuzi kote nchini
 
Acheni ubaguzi wenu wa ukanda mbona kina Mwakyembe, Prof Mwandosya wamekatwa pia hamna waliolalamika kuwa kanda yao inabaguliwa.

Kuna makabila yana haki ya kulalamika yanatengwa lakini siyo nyinyi wa kaskazini idara zote za serikali, mashirika ya umma, wizara nyingi tu mmejazana huko bado mnalalamika daah!!.

Ndiyo maaana mnataka kuanzisha taifa lenu la kaskazini mlivyokuwa wabaguzi.

Mawaziri wakuu wangapi wametoka kaskazini au nyie mnataka rais tu.
 
Hahaaa,

CHAgga DEvelopment MANifest, ni shiidaaa!
 
Poor reasoning.Mgombea wa Ukawa ni Slaa, anaweza shinda na anatokea North.Vp Rais amewahi toka Kanda ya kati,Magharibi ama nyanda za juu Kusini?Kwa nini haukuwahi kujiuliza Kanda ya Mashariki na Pwanı wameshatoka almost marais3 lakn ndo wako nyuma kimaendeleo?Lowasa pia amekatwa sio kwa sbbu ya ukasikaz wake bali uharamia, kashfa,Faulu kwenye mchakato,kutokuonekana kuchukia rushwa,uhafifu wa maono,watu wanaompigania kutokuaminika n.k.Lowasa anaweza kata kipande cha nchi na kukiuza alimradi apate hela tu!

Bro umemaliza kabisa.
 
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.
Usijal mkuu ilikuwa lazima tuanzie kanda ya ziwa, Nyerere hayumo kwenye hesabu maana hakuwa na mpinzan,ubaguz wa kanda na kabila kubwa kubwa naona taratibu unakufa sasa
 
Mkuu umeongelea jambo la maana sana nani vizuri tulitilie maanani ila mkuu naomba wiki moja mpaka mbili tuone hali ya hawa wananchi pamoja na mweshimiwa tuta pata ukweli japo na kusupport saana kwa kusema "Watanzania ni wepesi kusahau" naomba mda nione kama wamebadilika ntarudi hapa kukupa jibu mkuu. Shukran

hicho alichosema mshikaji ni kweli kabisa mkuu.
si umeona ameingia kwenye mkutano mkuu!!
Lowassa angekuwa anania ya kukibomoa chama jana hiyo hiyo angetangaza kuhama. Na angeondoka na wajumbe wengi wa mkutano mkuu waliokuwa wakimuunga mkono, na hapo kungekuwa na mparaganyiko mkubwa sana CCm. Kama hakutumia strategy hiyo jana, hata akitoka kwa sasa hatapata watu wa kumuunga mkono kama ambavyo angelifanya jana. Kwa maana hiyo naweza kusema kasoma upepo na hawezi kuhama na watanzania walivyo wepesi wa kusahau kama alivyosema jamaa, watamsahau Lowassa na kumsupport Magufuli
 
Umenifanya nifikiri Mara 2
Hivi kwanini rais hajawahi toka huko?

Achana na ubinafsi na mawazo mgando. Kwani ni Marais wangapi wamepita tangu tupate uhuru. Ki uhalisia, hapa nchini hamna kanda iliyopendelewa kama kaskazini, mfano, uwaziri mkuu, TRA, miundombinu mizuri n. k. Mkisema hivyo kanda zingine watasemaje, mfano, kusini na magharibi
 
Acheni ubaguzi wenu wa ukanda mbona kina Mwakyembe, Prof Mwandosya wamekatwa pia hamna waliolalamika kuwa kanda yao inabaguliwa.

Kuna makabila yana haki ya kulalamika yanatengwa lakini siyo nyinyi wa kaskazini idara zote za serikali, mashirika ya umma, wizara nyingi tu mmejazana huko bado mnalalamika daah!!.

Ndiyo maaana mnataka kuanzisha taifa lenu la kaskazini mlivyokuwa wabaguzi.

Mawaziri wakuu wangapi wametoka kaskazini au nyie mnataka rais tu.

Halafu hao mawaziri wakuu walotoka huko wooote wamevuruga tu, wana maekari ya kutosha tu, tanzanite inapatikana kwao lkn nchi fulan ndio inaongoza kwa kuiuza km hilo tu mmeshindwa kusimamia ndio tuwape nchi thubutu, kifupi hamwezi kuongoza nenden rombo kwanza mtulize kashfa ya pombe haramu ndio mje tuongee
 
Hata wasipopiga kura watu wa kaskazini ushindi uko palepale. Kwani kaskazini ndio nn? Nchi hii ni yetu sote. Hakuna mwenye hati miliki. Waache ubinafsi mkubwa uliokithiri mithili ya kutaka kila kitu chao. Tumechoka na tabia za hovyo za ubinafsi, ulafi na ubaguzi wao kwa watu wa sehemu zingine kwa kujiona wanajua kila kitu kumbe maji tu.

Lowasa anatoka huku kaskazini lakini mngempitisha pia tungempinga kwasababu sisi tunaangalia logic na sio ukanda kama anavyosema riz1.
 
Acheni ubaguzi wenu wa ukanda mbona kina Mwakyembe, Prof Mwandosya wamekatwa pia hamna waliolalamika kuwa kanda yao inabaguliwa.

Kuna makabila yana haki ya kulalamika yanatengwa lakini siyo nyinyi wa kaskazini idara zote za serikali, mashirika ya umma, wizara nyingi tu mmejazana huko bado mnalalamika daah!!.

Ndiyo maaana mnataka kuanzisha taifa lenu la kaskazini mlivyokuwa wabaguzi.

Mawaziri wakuu wangapi wametoka kaskazini au nyie mnataka rais tu.

Utalia sanaaaa ndio hivyo tena chaguo la mfalme limekataliwa. Mfalme kaanika tupu zake hadharani.
 
hicho alichosema mshikaji ni kweli kabisa mkuu.
si umeona ameingia kwenye mkutano mkuu!!
Lowassa angekuwa anania ya kukibomoa chama jana hiyo hiyo angetangaza kuhama. Na angeondoka na wajumbe wengi wa mkutano mkuu waliokuwa wakimuunga mkono, na hapo kungekuwa na mparaganyiko mkubwa sana CCm. Kama hakutumia strategy hiyo jana, hata akitoka kwa sasa hatapata watu wa kumuunga mkono kama ambavyo angelifanya jana. Kwa maana hiyo naweza kusema kasoma upepo na hawezi kuhama na watanzania walivyo wepesi wa kusahau kama alivyosema jamaa, watamsahau Lowassa na kumsupport Magufuli
Mimi binafsi nimemkubali EL ni mwanasiasa aliyekomaa na anakipenda chama chake
 
Mimi binafsi nimemkubali EL ni mwanasiasa aliyekomaa na anakipenda chama chake

Siyo kwamba anakipenda chama chake.
Wanajuana mule ndani, angetoka tu, labda hata uchaguzi wa Oktoba asingefika. Aidha wangemfanya kama Horace Korimba, (Katibu Mkuu wa enzi hizo) Au Majige (Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kwimba miaka ya 90). Alipohama chama tu. Wiki haikuisha bill za kodi ya mafuta alokuwa akiingiza kutoka Kenya bila kulipia kodi zikaanza kumiminika. (Kama unaijua hotel inaitwa Rock beach pale Mwanza ilikuwa ya huyo mzee) wakaipika Mnada gafla kufidia kodi zao.Mpaka mzee wa watu kafa kwa shinikizo la damu.

Kwa hiyo Lowassa naye yawezekana aliogopa hayo mambo yasimkute. Ila mimi kwa upande wangu ndo nimeamini waswahili walivyo na urafiki wa kinafiki. (Bila Lowassa Kikwete hiyo nafasi asingekuwa nayo)
 
Mkuu
WaTz wakusikiliza Sera wakowapi?

Bado Sana!.
I'm sure ni wachache sn wanaopiga kura eti kwasbb kasikiliza sera za mgombea

Sera haibadilishi maamuzi, asilimia kubwa ya wapiga kura huangalia mgombea yeye kama yeye binafsi.
CCM watusahau kabisa maana tumeumia sana kwakweli. ...
 
Siyo kwamba anakipenda chama chake.
Wanajuana mule ndani, angetoka tu, labda hata uchaguzi wa Oktoba asingefika. Aidha wangemfanya kama Horace Korimba, (Katibu Mkuu wa enzi hizo) Au Majige (Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kwimba miaka ya 90). Alipohama chama tu. Wiki haikuisha bill za kodi ya mafuta alokuwa akiingiza kutoka Kenya bila kulipia kodi zikaanza kumiminika. (Kama unaijua hotel inaitwa Rock beach pale Mwanza ilikuwa ya huyo mzee) wakaipika Mnada gafla kufidia kodi zao.Mpaka mzee wa watu kafa kwa shinikizo la damu.

Kwa hiyo Lowassa naye yawezekana aliogopa hayo mambo yasimkute. Ila mimi kwa upande wangu ndo nimeamini waswahili walivyo na urafiki wa kinafiki. (Bila Lowassa Kikwete hiyo nafasi asingekuwa nayo

Mkuu umemiumiza tena kidonda kilichotaka kupona, hakika nimemchukia Kikwete sana, ni mnafiki asiye na hata chembe ya aibu.Bora hata angempitisha kwenye tano bora...ila kwa kujua kwakwe Lowassa anakubalika ikabidi amchinjie baharini.
Hata hivyo nimemkubali sana mwanaume Lowassa kwa ujasiri wake, laiti ningekua mimi nisingeweza kujongea meza kuu kwa dhuluma ile.
 
Back
Top Bottom