Naomba kudeclare interest. Mimi siamini kuwa tutapata rais bora toka CCM hata wakimteua nani. Ila naona kitendo cha kumtema Lowassa na wakifanikiwa kumtema Membe, wapinzani tutakuwa na kazi kweli kweli. Watakaobaki wachache ndani ya CCM watakuwa wamoja na wakichanganya na nguvu ya dola na watendaji wakuu wa ngazi zote serikalini CCM watapata ushindi mkubwa kwa kutumia kura na bao la mkono.
Lowasa hatathubutu kuhama chama maana atapelekewa bill ya kodi ya michango yoote aliyopokea kutoka kwa marafiki zake (Kumbuka waliopata hela ya escrow walidaiwa kodi). Pili, Mawaziri wakuu wanaotakiwa kupata marupurupu ya kustaafu ni wale waliostaafu na sii waliojiuzulu. Lowasa alijiuzulu na si alistaafu. Kama atathubutu kuingia chama kingine haya marupurupu yatakatwa.
Sababu nyingine ni kuwa Watanzania ni wepesi kusahau. Baada ya wiki moja utasikia wale wale waliokuwa kindaki ndaki team lowasa watakuwa kindaki ndaki wa mgombea atakayeteuliwa na jina Lowasa litakuwa limefutika midomoni mwao.
Kwa maamuzi haya ya CCM utashangaa upinzani tusipokuwa makini tutapoteza hata baadhi ya majimbo tulonayo.
Mkuu tangia enzi na enzi watu wa kaskazini wamekuwa wanabaguliwa wazi wazi kabisa na ccm...na mwaka huu ndo muda wa kuwaonyesha kuwa watu aa kaskazini wana msimamo....na msimamo wauonyeshe kwenye sanduku la kura...ccm wasipate kitu kuanzia udiwani..ubunge..mpaka uraisi...
Mawazo mgando haya
naomba kudeclare interest. Mimi siamini kuwa tutapata rais bora toka ccm hata wakimteua nani. Ila naona kitendo cha kumtema lowassa na wakifanikiwa kumtema membe, wapinzani tutakuwa na kazi kweli kweli. Watakaobaki wachache ndani ya ccm watakuwa wamoja na wakichanganya na nguvu ya dola na watendaji wakuu wa ngazi zote serikalini ccm watapata ushindi mkubwa kwa kutumia kura na bao la mkono.
Lowasa hatathubutu kuhama chama maana atapelekewa bill ya kodi ya michango yoote aliyopokea kutoka kwa marafiki zake (kumbuka waliopata hela ya escrow walidaiwa kodi). Pili, mawaziri wakuu wanaotakiwa kupata marupurupu ya kustaafu ni wale waliostaafu na sii waliojiuzulu. Lowasa alijiuzulu na si alistaafu. Kama atathubutu kuingia chama kingine haya marupurupu yatakatwa.
Sababu nyingine ni kuwa watanzania ni wepesi kusahau. Baada ya wiki moja utasikia wale wale waliokuwa kindaki ndaki team lowasa watakuwa kindaki ndaki wa mgombea atakayeteuliwa na jina lowasa litakuwa limefutika midomoni mwao.
Kwa maamuzi haya ya ccm utashangaa upinzani tusipokuwa makini tutapoteza hata baadhi ya majimbo tulonayo.
acha kuropoka ccm ndo kimeivaKwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.
Magufuli anafaa na miongoni mwa wachapakaz ndan ya serikali wakimchukia huyo ntawaita moja kwa moja wabinafsi labda wapitishe hao wake zao! akipita magufuli mechi itakuwa tamu sana ya slaa na magufuli kwan haitotabilikaKwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.
na TRA yetu watuachieMkuu tangia enzi na enzi watu wa kaskazini wamekuwa wanabaguliwa wazi wazi kabisa na ccm...na mwaka huu ndo muda wa kuwaonyesha kuwa watu aa kaskazini wana msimamo....na msimamo wauonyeshe kwenye sanduku la kura...ccm wasipate kitu kuanzia udiwani..ubunge..mpaka uraisi...
Mawazo mgando haya
hakuna kilicho baki waje kuchukua bendera zao
Naomba kudeclare interest. Mimi siamini kuwa tutapata rais bora toka CCM hata wakimteua nani. Ila naona kitendo cha kumtema Lowassa na wakifanikiwa kumtema Membe, wapinzani tutakuwa na kazi kweli kweli. Watakaobaki wachache ndani ya CCM watakuwa wamoja na wakichanganya na nguvu ya dola na watendaji wakuu wa ngazi zote serikalini CCM watapata ushindi mkubwa kwa kutumia kura na bao la mkono.
Lowasa hatathubutu kuhama chama maana atapelekewa bill ya kodi ya michango yoote aliyopokea kutoka kwa marafiki zake (Kumbuka waliopata hela ya escrow walidaiwa kodi). Pili, Mawaziri wakuu wanaotakiwa kupata marupurupu ya kustaafu ni wale waliostaafu na sii waliojiuzulu. Lowasa alijiuzulu na si alistaafu. Kama atathubutu kuingia chama kingine haya marupurupu yatakatwa.
Sababu nyingine ni kuwa Watanzania ni wepesi kusahau. Baada ya wiki moja utasikia wale wale waliokuwa kindaki ndaki team lowasa watakuwa kindaki ndaki wa mgombea atakayeteuliwa na jina Lowasa litakuwa limefutika midomoni mwao.
Kwa maamuzi haya ya CCM utashangaa upinzani tusipokuwa makini tutapoteza hata baadhi ya majimbo tulonayo.
Ccm washapasuka wamejikaza tu subiri watoke hapo chama kitapasuka zaidi. Unamuona Membe hapo? Unamuona Lowassa alivyokula x? Unamuona kikwete alivyomuadhibu Lowassa. Hapo wapo kimwili tu kichama hakuna.
Namuonea huruma Magufuli katupiwa zigo lililooza anakazi kubwa sana. Ukawa wanachance kubwa hii ni bahati yao.
watabaki na Lindi, bagamoyo na chato