Arusha na CCM

Arusha na CCM

Hata wasipopiga kura watu wa kaskazini ushindi uko palepale. Kwani kaskazini ndio nn? Nchi hii ni yetu sote. Hakuna mwenye hati miliki. Waache ubinafsi mkubwa uliokithiri mithili ya kutaka kila kitu chao. Tumechoka na tabia za hovyo za ubinafsi, ulafi na ubaguzi wao kwa watu wa sehemu zingine kwa kujiona wanajua kila kitu kumbe maji tu.

Mkuu ivi hujui kule ni kichwani
 
Nani kakuambia Lowasa amekatwa kwa sababu ya ukabila? ina maana wewe hujui kashfa zinazomzunguka? Iweje nyie chadema mumpende sana Lowasa dakika hizi za majeruhi? Obvious mnazo rundo ya kashfa zake mlizihifadhi ili akipitishwa na ccm mzitoe hadharani kuimaliza ccm! wamewashtukia mnaleta ajenda ya ukabila. Muflisi nyie.

Aliye watu wote wa kaskazini ni chadema ni nani.
 
Kwa pigo hili sidhani kama CCM ina kitu imebakiza Arusha na Kilimanjaro nadhani ndio wamejifukuza kabisa hata kile kidgo kilicho kuwa kimebaki wamepoteza, ngome imekuwa ya UKAWA moja kwa moja.

Sababu ni zipi au ipi? Cz Lowassa kama wagombea wengine ameshindwa, plus hata kilimanjaro na arusha wasipotoa kura, kanda ya ziwa inakura za kutosha na kanda zingine. Acheni uchoyo na ubinafsi
 
Mkuu tangia enzi na enzi watu wa kaskazini wamekuwa wanabaguliwa wazi wazi kabisa na ccm...na mwaka huu ndo muda wa kuwaonyesha kuwa watu aa kaskazini wana msimamo....na msimamo wauonyeshe kwenye sanduku la kura...ccm wasipate kitu kuanzia udiwani..ubunge..mpaka uraisi...

Umenifanya nifikiri Mara 2
Hivi kwanini rais hajawahi toka huko?
 
nakubaliana na wewe kwa kumkumbuka marehemu kenyata alimwambia nyerere :" mimi natawala wagonjwa kuna siku watapowa wataleta shida wewe unatawala vipofu hawataona maisha" imethibitika inauma lakini ndio ukweli .

Kila kitu kina mwisho!
Mungu si mwanadamu!..
Subiri uone
 
mi ni mzaliwa na mkazi wa Kilimanjaro marangu. Unachoongea ni siasa za makabila jambo ambalo siyo zuri. Alafu siasa ni Sera siyo matusi. Waje wote wamwage Sera then wananchi waamue. Pia kama upinzani wanadhani kupita huku na huku wakisema serikali haijafanya kitu ni dili waendelee. Nimefwatilia chaguzi nyingi sana kupitia vyombo vya habari. Hakuna kitu kizuri kama Sera. Mfano Laporta vs Bartomeu pale Barcelona club kila uchao Sera zinamwagwa!!! Wananchi wamechoka na vijembe vya kutukanana na lawama. Ndio maana hata baadhi yao walimpenda Lowassa kwa kula alikuwa anawaambia atawasaidiaje japo mambo ya ufisadi yanayozungumzwa juu yake. Dr slaa mwaga Sera Dr Magufuli mwaga Sera. Zungukeni nchi mzima alafu wananchi tutawarate. Hii ndiyo siasa bora. Hawa watu wote ni makini sana na naimani Sera ndio zitawaokoa. Magufuli ni mchapakazi sana na Dr slaa pia. CCM mwacheni Magufuli msimshinikize kwa lolote mtaona watanzania watakavyo enjoy life. Pia kwa Dr slaa vilevile. Jana kuna mkurugenzi wa halmashauri fulani baada ya Magufuli kutwaa 3 bora akasema tumekwisha. Pia Dr slaa watu wanamjua vema. Taifa la Mungu twendeni church kwa wale rc alafu tukija mambo yote hadharani

Wambie ndugu zako coz wamezidi uchoyo na ubinafsi..
 
Huu ndio unaitwa ukanda a.k.a ukabila.

Hii ndo tabia ya watu wa Kaskazini.Hata wale tuliokuwa nao opp.walishatuhama na kwenda kwa Lowasa.Nafuu amepgwa chini vingnevyo Dr angepata wakati mgumu huko Kaskaz.Lakn hii tabia ni mbaya sana na tuelewa kuwa hali hii ikiendelea, itawafanya tukose hata kwingne.Karibu 35% ya Watz wanapatikana kanda ya ziwa.Chadema kwa mfano tuna wabunge wengi kanda ya ziwa kuliko hata huko Kaskaz.
 
Futa kabisa ccm arusha na Kilimanjaro.
 
mi ni mzaliwa na mkazi wa Kilimanjaro marangu. Unachoongea ni siasa za makabila jambo ambalo siyo zuri. Alafu siasa ni Sera siyo matusi. Waje wote wamwage Sera then wananchi waamue. Pia kama upinzani wanadhani kupita huku na huku wakisema serikali haijafanya kitu ni dili waendelee. Nimefwatilia chaguzi nyingi sana kupitia vyombo vya habari. Hakuna kitu kizuri kama Sera. Mfano Laporta vs Bartomeu pale Barcelona club kila uchao Sera zinamwagwa!!! Wananchi wamechoka na vijembe vya kutukanana na lawama. Ndio maana hata baadhi yao walimpenda Lowassa kwa kula alikuwa anawaambia atawasaidiaje japo mambo ya ufisadi yanayozungumzwa juu yake. Dr slaa mwaga Sera Dr Magufuli mwaga Sera. Zungukeni nchi mzima alafu wananchi tutawarate. Hii ndiyo siasa bora. Hawa watu wote ni makini sana na naimani Sera ndio zitawaokoa. Magufuli ni mchapakazi sana na Dr slaa pia. CCM mwacheni Magufuli msimshinikize kwa lolote mtaona watanzania watakavyo enjoy life. Pia kwa Dr slaa vilevile. Jana kuna mkurugenzi wa halmashauri fulani baada ya Magufuli kutwaa 3 bora akasema tumekwisha. Pia Dr slaa watu wanamjua vema. Taifa la Mungu twendeni church kwa wale rc alafu tukija mambo yote hadharani

Mkuu
WaTz wakusikiliza Sera wakowapi?

Bado Sana!.
I'm sure ni wachache sn wanaopiga kura eti kwasbb kasikiliza sera za mgombea
 
Aliye watu wote wa kaskazini ni chadema ni nani.

Labda uniweke sawa, mkuu huyu mleta uzi kasema ccm kwa kumkata Lowasa haina chake kaskazini labda wakatoe bendera zao eti kisa hawajawahi kuwa na Rais mkaskazini! ndio nikasema hawa chadema iweje leo wanamlilia Lowasa kwa ukaskazini tu?!! wanadai ingekuwa zamu yao ninawashauri ndani ya chadema wanao wagombea wengi wa kaskazini wawachgue kiukabila waone kama watatosha kwa kura za Arusha na Kilimanjaro kupata rais wa tz.
 
Ccm washapasuka wamejikaza tu subiri watoke hapo chama kitapasuka zaidi. Unamuona Membe hapo? Unamuona Lowassa alivyokula x? Unamuona kikwete alivyomuadhibu Lowassa. Hapo wapo kimwili tu kichama hakuna.

Namuonea huruma Magufuli katupiwa zigo lililooza anakazi kubwa sana. Ukawa wanachance kubwa hii ni bahati yao.
Magufuli atatakiwa kusaidiwa kuirejesha CCM katika umoja, maana naye ana changamoto ya 'unifying' katika matendo na kauli yake!
 
Umenifanya nifikiri Mara 2
Hivi kwanini rais hajawahi toka huko?

Poor reasoning.Mgombea wa Ukawa ni Slaa, anaweza shinda na anatokea North.Vp Rais amewahi toka Kanda ya kati,Magharibi ama nyanda za juu Kusini?Kwa nini haukuwahi kujiuliza Kanda ya Mashariki na Pwanı wameshatoka almost marais3 lakn ndo wako nyuma kimaendeleo?Lowasa pia amekatwa sio kwa sbbu ya ukasikaz wake bali uharamia, kashfa,Faulu kwenye mchakato,kutokuonekana kuchukia rushwa,uhafifu wa maono,watu wanaompigania kutokuaminika n.k.Lowasa anaweza kata kipande cha nchi na kukiuza alimradi apate hela tu!
 
Njaare umeongea vzr sana.Hata huyo anayesemwa kupita inasemekana ni chaguo la baraza la wazee.kuna hali flan ya yale makundi makubwa kupotea na wote kuwa kitu kimoja
 
Kama bado kuna mtu wa Kaskazini bado yupo Ccm basi akapimwe AKIRI sio mzima.Ubaguzi wa Ccm kuwabagua watu hao umeonekana.Uvccm pwani walisema Rais hawezi toka Kaskazini kupitia ccm

AKIRI means to support, Tumia neno AKILI
 
Back
Top Bottom