mvua ya mawe Arusha inanyesha muda huu jijini Arusha, niko ndani ya gari nahisi kama vioo vinataka kupasuka
Mawe au barafu?
Mawe au barafu?
Lema ameshindwa hata kujenga mifereji ya kupitisha maji? Mkome kuchagua wahuni
Lema ameshindwa hata kujenga mifereji ya kupitisha maji? Mkome kuchagua wahuni
Vip upp Arusha ... Hali ya mitaro ikoje. " ?
Mkuu kumbe upo kwenye gari! nisubiri unipe lift bas
Mawe au barafu?
Lema ameshindwa hata kujenga mifereji ya kupitisha maji? Mkome kuchagua wahuni
Mazara yalio sababishwa na mvua hii ni kuangusha ukuta wa benki kuu BOT.