Arusha mvua kubwa inanyeesha

Mnaoongelea mvua nawashangaa sana........mimi nipo hapa kwa Idd......nilichoona ni tunyunyu tuwili tutatu......basi.....

Preta wacha utani hii mvua sio utani karibu yazui mazishi ya yule pailoti wa wanyamapori.
 
Mazara yalio sababishwa na mvua hii ni kuangusha ukuta wa benki kuu BOT.

Mkuu lengio bado hii unaita madhara???!!! Meeku hebu acha hizo...andaa sandarusi, rambo, viroba na magunia ukakinge!! Inawezekana ndio mmeandaliwa mgawo wa escrow kupitia majanga ya asili!!
 
Mkuu lengio bado hii unaita madhara???!!! Meeku hebu acha hizo...andaa sandarusi, rambo, viroba na magunia ukakinge!! Inawezekana ndio mmeandaliwa mgawo wa escrow kupitia majanga ya asili!!

Yeeewooomiiii ffu walivyozingira.
 
Kwani Arusha hakuna Fire? Poleni sana huku itanyesha usiku huu
 
Ni kweli haya yalinidondokea nikayadaka, karibia yanitoe nundu...

images
 
Back
Top Bottom