Arusha mvua kubwa inanyeesha

chingas

JF-Expert Member
Oct 29, 2014
261
102
mvua ya mawe Arusha inanyesha muda huu jijini Arusha, niko ndani ya gari nahisi kama vioo vinataka kupasuka
attachment.php

 

Attachments

 • mvua.jpg
  mvua.jpg
  16 KB · Views: 2,379
Wandugu nipo hapa stand kuu ya mabasi mkoani Arusha mvua kubwa ya mawe(barafu) inanyesha sana
 
Arusha mvua kubwa ya mawe inanyesha ikiendelea huenda ikaleta mazara
 

Attachments

 • 1417438903024.jpg
  1417438903024.jpg
  19.4 KB · Views: 848
 • 1417438921287.jpg
  1417438921287.jpg
  26.7 KB · Views: 809
 • 1417439037041.jpg
  1417439037041.jpg
  43.3 KB · Views: 781
mvua ya mawe Arusha inanyesha muda huu jijini Arusha, niko ndani ya gari nahisi kama vioo vinataka kupasuka

wale watabiri wa mambo yanayotokea duniani watuambie leo tar 1/12/2014
tunashuhudia mvua hii ya barafu. sasa
hii ni neema ya mwezi huu wa mwisho wa mwaka huu?
au ni majanga ya kufungia mwaka
 
nimepata sms ... kua kuna mvua kubwa saana Arusha ya mawe . !
Na umeme umekatika pia .

Dar es salaam kukavu ,joto kali.
 
Lema ameshindwa hata kujenga mifereji ya kupitisha maji? Mkome kuchagua wahuni
 
Mazara yalio sababishwa na mvua hii ni kuangusha ukuta wa benki kuu BOT.
 
Mnaoongelea mvua nawashangaa sana........mimi nipo hapa kwa Idd......nilichoona ni tunyunyu tuwili tutatu......basi.....
 
Back
Top Bottom