Mbona unanishambulia nimesema tu kuwa ninazo tangu mwaka jana lakini kutokana na heshima na sheria za nchi sijaziweka kwenye mitandao....
sasa wasiposambaza tutajuaje kama Lema alipakuliwa?
Mkuu, ndo Lema atakapojua kuwa si kila siku ni nyota njema kwake. na ukiwa mhuni epuka utapeli. yeye katapeli na jamaa wamemfanya usodoma
Kufanya hivyo ni kosa kisheria.. Lema aende mahakamani haraka ushaidi upo wakutosha kuwatia hatiani watuhumiwa!
Na kikwete naye kafanya nini? Obama je? Bush Je? Yaani kama kusingekuwa na sheria za kuzuia uhuni huo hiyo kazi mbona naiweza...
Huyu ndiyo mwanamke wa kubakwa ndugu yangu??
Tutaanza na magogoni...Ni jambo la kusikitisha kusikia Sadifa alishiriki mchezo wa kijinga kama huu Huyo mwehu mwingine aliyetajwa sishangai lakini of all the People Sadifa?
Kama TCRA hawatachukua hatua watakua wamebariki ufedhuli na sasa tutaona ni nani atakayebaki salama katika mchezo huu
Sikuwahi dhani kama Ritz, huwa ni muungwana. Kwa hii post, wewe ni mstaarabu ila basi tu kuna wakati unajitoa ufahamu.Mimi binafsi pamoja kuwa napigana na Lema pamoja na CHADEMA lakini kitendo alichofanyiwa Lema siyo cha kiungwana, hii tabia imeishazoeleka mitandaoni kuchafuana.
Kweni mawasiliano ya Zitto yaliyowekwa hapa mtandaoni yaliambatana na picha za Zitto?
Kweli kabisa Bongo fleva na wanaoanguka vifafa...Lawama zote ziwaendee wapiga kura kwa kuchgua watoto wa vijiweni na waimba bongo fleva, ushindni wao umeishia kwenye kupika majungu na kutengeneza ushushi. Lema asimlaumu yoyote isipokuwa ajilaumu yeye mwenyewe na yeye ni miongoni mwao
Hizo picha zimetamalaki vilivyo kwenye simu za vijana wa UVCCM karibu wote nchi nzima wenye smartphones.
Wanasambaziana kupitia Whatsapp.
Hizo picha zimetamalaki vilivyo kwenye simu za vijana wa UVCCM karibu wote nchi nzima wenye smartphones.
Wanasambaziana kupitia Whatsapp.
Hiz cm ndizo walizo pewa uvccm kule zanzibar na kiongoz fulan,kumbe kaz yake iliku hii? Pole sana kamanda Lema.
kikwete mku wa nchi so kama TCRA haikufuatili zakwake na za yeyote yule kikwete ndio mtu wakwanza kulaumiwa.
Hata hivyo nashaur Lema wala asichukulie hili swala kwa jazba,asilifanye big issue. Afuate taratibu za kisheria na aendelee na maisha kwani wengi washafanyiwa hivyo..kina bush,clinton,blair nk.
Infact,hiyo inaonyesha how desparte CCMs are. Jana nimesikiliza kmkutano kao pale nyuma ya shekh amri Abeid stadium kata ya kaloleni, seriously,these guys are desparate..uzi ukazwe watasanda soon. Usipoona zile rangi naeza fikiri mkutano ni wa CDM mana kila baada ya neno linafuata CDM hakuna cha maana wanaongea.
lema ni janga kwa vijana, ameiga tabia ya slaa
Nimecheka Airtel eti wamesema wakifuatilia hizo namba watakufa teh teh teh!!Kitendo cha TCRA kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.Tutaona