Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,972
- 22,437
Ubeijing mwingi
Vitu vidogo hivyoNataka pizza na burger
Ni nguvu mbaya siku zote zinashindana na nguvu nzuriKwani wewe kwa uelewa wako shetani ni kiumbe wa namna gani?
Tulishasema Arusha vijana wa Kiume ni majangaMwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.
Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.
Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake
Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.
Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
demu atakuwa mmeru au mchaga uyoMwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.
Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.
Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake
Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.
Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
Majitu kama haya bora yapungue yasibaki yakaendeleza vizazi dhaidu happ baadae.Wamem'bamanda DAUDI mpaka ameresiti ini pisi
Hakuna mtu atafurahia huu ukatili labda ndugu ya huyo mwanamke!Kile kikundi cha haki za binadamu hamtakiona kikikemea..
Sasa ingegeuka sasa....
Kweli penzi ni Hatari,wakati mwingine wazee wa kataa ndoa kama nawaelewa vile!Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.
Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.
Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.
Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake
Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.
Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
Tuishi nao kwa Akili!Mnaosema wanawake ni viumbe dhaifu mnaitwa huku.RIP kaka
Limemgeukia yeye litamuua!Kunyongwa hadi kufa.Sio bure, "JIHADHARI RIMBWATA LIPO NA LINAUA"
Baadhi ya binadamu wana roho ya shetaniwanawake wazidi kudhihirisha ushetani wao.
Rip Daud.
🙄🙄Tutawaua🤣
Mwanaume mzembe, itakuwa pia alikuwa hafanyi kazi yake vizuriHahahaha sio kwamba mademu wa Arusha nao kama wadudu tu, bange nyingi
Shikamoo jirani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilikuwa naitafuta hii comment
Hii futuhi nimeikataa.Hakuna hiyo kitu!inahitajioa ngumi Moja tu kwa mwanamke anakufa hapo hapo!ngumi moja tu ukikosea ukampiga mwanamke anakufa papo hapo!
We ona wanashirikiana na watoto kumpiga baba hivi unapata wapi nguvu za kupigana na mtoto wako na make kwa pamoja!!?zaidi ya kubaki unashangaa tu Hadi kifo!!?
Hapo ulipo mtoto wako uliemzaa akikuchukulia Rungu akupige unadhani utakua na nguvu za kumpiga au kupigana!!?Ganzi mwili mzima na hata maarifa ya kupigana au kukimbia huna!