Arusha Mjini: Inaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania

Arusha Mjini: Inaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania

Mkuu kwanza inapaswa uelewe,Ujinga wa watu wa Arusha siyo Ujinga wa Watanzania wote;Binafsi naungana na wewe kwamba,kiwango Cha Ujinga ni kikubwa kuliko mikoa mingine,yawezekana ndiyo Mkoa ukawa unaongoza Kwa watu wajinga Tanzania !

Daudi Albert Bashite kugombea Arusha si kuwasaidia Watanzania,Bali inawezekana nikwa malengo yake Binafsi,Kama ulivyosema Mkuu wa Mkoa ana nafasi kubwa ya kusukuma gurudumu la Maendeleo kwenye Mkoa husika kuliko Mbunge !

Yaelekea posho,Mshahara na Marupurupu ya Mkuu wa Mkoa ni Cha mtoto ukilinganisha na Mbunge anachopata!,Pia Daudi Albert Bashite yeye anaangalia fursa ya uwezekano wa Kuwa Waziri !
Tukana uone! Wana Arusha Mjitafakari, Sasa mtu anatumia jina si lake,mwenye jina akiutaka huo uwaziri itakuwaje?Mimi ndio Paul makundo halisi?!!!
 
Sio Ukabila Jombaa, lazima Mbunge na Vinasaba vya Jimbo husika. Hauwezi kuwakilisha Jamii ambayo huijui.

Ni kama kiongozi wa Kiislam kwenda Kuwakilisha Jamii ya Kikristo. Hapo lazima atazingua.
Ibara ya ngapi ya Katiba inatamka hivyo? Au kifungu kipi cha sheria ya uchaguzi ama sheria nyingine za nchi hii zimeainisha hiyo hoja yako?
Kama hakuna hata moja achana na hizo dhana potofu, Tanzania hatuna pigo za kishamba kama hizo.
As long as ni raia halali wa Taifa hili ana uwezo wa kuwatumikia wananchi kwa nafasi yoyote ile na mahali popote pale.
 
Mpaka Leo Makonda na wafuasi wake hawajawahi kutolea maelezo ya kwa nini Makonda alimpiga Mzee Warioba na pia kuvamia pale Clouds fm... Iwapo kama Makonda au Wafuasi wake wako hapa jukwaani watupe maelezo yaliyonyooka maana hizo clip za hayo matukio tunazo.
 
Habari za Muda huu

Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza

i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana haki ya kugombea, Makonda amekaa Arusha kwa kipindi gani mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa

2. Je! katika Uhalisia, kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa nani ana nafasi nzuri ya kusaidia mchakato wa Maendeleo.

Mkuu wa Mkoa yupo Upande wa Serikali na Serikali ndio inayotoa Fedha ikiwa na maana Mkuu wa Mkoa ana nafasi nzuri ya kutumia Mamlaka kuhamasisha Mchakato wa Maendeleo.

Jambo gani ambalo Makonda kashindwa kulifanya kama mkuu wa Mkoa anadhani akiwa Mbunge atafanikisha??


3. Gambo akiwa mkuu wa mkoa alitifuana na Lema akiwa Mbunge. Mwisho Lema akaondoka akabaki Gambo. Mtifuano ule ambao Gambo alikua anaufanya kwa Lema ukahamia kwa Watumishi. Alitifuana sana na Watumishi.


4. Arusha baada ya kukubali utambulisho wao kuwa "Wadudu" hapo nikajua kuna tatizo kubwa sana. Namna gani mkoa unaweza kubariki kuwa na utambulisho wa Wadudu.

Watu wa Arusha mnapaswa kujitathmini kwa Huu Ujinga.

Wasalam.
Wao ni Bangi na Mirungi
 
Arusha wana dhalilisha sana Tanzania, hawa Jamaa wanaweza kuuza utu wao kisha Fedha....

Makona ameenda Arusha sababu ya Ukuu wa Mkoa, hana Historia yoyote na Arusha. Leo hii anaenda kuchukua Form na kuna Wajumbe wengi tu wanashangilia.

Hii itajenga Msingi kwa Wakuu wa Mikoa mingine kutafuta Ubunge ktk Mikoa wanayapongiwa. Itazalisha vurugu sana.

Kwanini hakurudi Kigamboni ambako aligombea 2020 na Wajumbe wakamla kichwa.
Hawawezi hao wajanja mdomoni tu
 
Wewe mahaba tu yanakutawala ila jamaa kaeleza vizuri sana tu
Mkuu achana na huyo uneducated expert kichwa chake ni special kwa ajili ya kuvutia bangi na kubebea mizigo kariakoo..
 
Kutoa malalamiko bila mapendekezo ya Suluhisho ni kujithibitishia na kujiingiza mwenyewe kwenye kundi uliloliweka kwenye headingi; utofauti tu ni kwamba utapewa ukiranja tu.
Hata kama hauna ubongo sio lazima kila mtu ajue.... halafu usiringie utaahira sio kitu kizuri.
 
Mkuu bado unapigia chapuo ukabila katika karne hii? Au una maana gani unapozungumzia nasaba ya Makonda katika Mkoa wa Arusha?
Ww ambae sio mbaguzi je Makonda akija hapo kwenu akiwa anawakula mama ako na dada zako utakuwa comfortable tu himaya yako kuingiliwa?
 
Sio Ukabila Jombaa, lazima Mbunge na Vinasaba vya Jimbo husika. Hauwezi kuwakilisha Jamii ambayo huijui.

Ni kama kiongozi wa Kiislam kwenda Kuwakilisha Jamii ya Kikristo. Hapo lazima atazingua.
Au Paul Kagame aje awe rais wa Tanzania!
 
Swala la CCM kumuacha Makonda agombee Arusha ni ishara kuwa ile mitifuano kati ya Makonda na Gambo ilikua na Baraka za moja kwa moja toka katika Chama.

Namna gani Mkuu wa Mkoa (serikali) anagombana na Mbunge (Bunge) kisha Chama kinakaa kimya na kinasimama na Mkuu wa Mkoa.

Hii ni mihimili miwili ambayo inapaswa kufanya kazi pamoja ili kurahisisha Maendeleo.

Utaelewa kuwa Ugomvi wa Makonda na Gambo haukua wa Kimaslahi kwa Maendeleo ya Wananchi wa Arusha bali ilikuwa ni vita ya Ubunge.
 
Ugomvi wa Makonda na Gambo haukua na lengo la kutatua Changamoto za wana Arusha. Bali ilikua ni vita ya Ubunge.
 
Back
Top Bottom