Arusha Mjini: Inaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania

Arusha Mjini: Inaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania

Hakuna haja ya kulalamika! Wajumbe wa Arusha wafanye kazi yao kama walivyofanya wale wa Kigamboni 2020.
 
🌐 POLITICAL REALITY CHECK ABOUT PAUL MAKONDA 🌐

Watu wengi wanashangaa kwanini Makonda amekuwa akibadilisha nafasi mara kwa mara kutoka RC Dar, akataka ubunge CCM wakamkataa, akapewa RC Arusha, na sasa tena jina lake limepita kwenye ubunge.

❗ Let’s be honest:
Kama kweli nia yake ni kusaidia wananchi “from the heart”, nafasi ya RC ni platform kubwa ya kufanya impact kuliko ubunge. Lakini kwa nini kuacha nafasi yenye nguvu ya maendeleo na kukimbilia ubunge?

📌 Answer is simple:
Hii ni classic example ya “Political Capitalization.” Anaweka maendeleo mbele ya macho ya wananchi si kama huduma ya dhati, bali kama political ladder ya kupandia juu.

🇹🇿 Truth be told:
Makonda anatumia miradi ya maendeleo as a tool of manipulation kuwashawishi wananchi wamchukue kama mkombozi, wakati lengo halisi ni kuongeza influence yake binafsi kisiasa.

⚠️ Bottom line:
Wananchi wasidanganywe na speed ya miradi au maneno ya huruma.
This is not about people, it’s about power!

🔥 Conclusion:
Makonda is not real. Anaendesha siasa kwa mtindo wa kujenga “image” ya mkombozi ili ku-turn wananchi into a political ladder. This is pure hunger for power, not service.
Lakini ukimlinganisha Makonda anayetumia hiyo miradi kuinfluence people na viongozi wengine ambao wapowapo tu hawaeleweki wanafanya nini kazi yao uchawa tu na kusifia wewe unadhani ni yupi bora kati yao?
 
Kwa bahati mbaya hao Wananchi ambao Unasema wasindanganywe Tayari wameshadanganyika.

Je! Makonda ana Jambo gani ambalo alishindwa kulifanya akiwa mkuu wa Mkoa anadhani kwasasa ataliweza kama Mbunge.

Jibu ni kwamba hakuna Jambo lolote la maana atakalofanya. Haijui Arusha na hana la kuwasaidia wana Arusha.
Lengo la Makonda ni kuja kuwa waziri ili atumikie wananchi wote wa Tanzania hilo ndio jambo linalomuumiza kichwa.
Yaani akiwa mkuu wa mkoa anaona pamoja na ukali wake ila hawezi kuvuka mkoa mwingine kwenda kutoa maagizo hiyo inamkata morale
 
Moja kati ya Chama kilichowasaliti wananchi ni CHADEMA.
Kususia uchaguzi kumewafanya wananchi kushindwa kuwa na option nzuri kwenye uchaguzi.

Hii imeipa nafasi CCM kupanga Safu wanavyotaka.

Tarime vijijini tumesalitiwa na John Heche na Jimbo linabebwa na nyambari nyangwine anayeishi dar.

Hakika CCM IMETUPORA HAKI YETU YA KUCHAGUA.
 
Tatizo ni kubwa kuliko unavyofikiria.
Salma kikwete kapita bila kupingwa ( wanashangilia)
Riziwani kikwete kapita bila kupingwa ( mazuzu yanashangilia)
Jrscer magufuli anapewa ubunge ( wanashangilia)
Pinda
Mwinyi families na wengine wengi.
Watu wa Tanzania hilo wanaona ni jambo jema sasna. Wanakwambia nchi ina amani na chama ni ccm tu.
AMANI GANI HIYO WANAKULA WALEWALE
Jiunge na chauma nenda kapambane ukitaka kuonja vurugu nenda Goma Kongo ama Somalia urudi utuambie unaonaje kuwa to aman
 
Habari za Muda huu

Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza

i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana haki ya kugombea, Makonda amekaa Arusha kwa kipindi gani mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa

2. Je! katika Uhalisia, kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa nani ana nafasi nzuri ya kusaidia mchakato wa Maendeleo.

Mkuu wa Mkoa yupo Upande wa Serikali na Serikali ndio inayotoa Fedha ikiwa na maana Mkuu wa Mkoa ana nafasi nzuri ya kutumia Mamlaka kuhamasisha Mchakato wa Maendeleo.

Jambo gani ambalo Makonda kashindwa kulifanya kama mkuu wa Mkoa anadhani akiwa Mbunge atafanikisha??


3. Gambo akiwa mkuu wa mkoa alitifuana na Lema akiwa Mbunge. Mwisho Lema akaondoka akabaki Gambo. Mtifuano ule ambao Gambo alikua anaufanya kwa Lema ukahamia kwa Watumishi. Alitifuana sana na Watumishi.


4. Arusha baada ya kukubali utambulisho wao kuwa "Wadudu" hapo nikajua kuna tatizo kubwa sana. Namna gani mkoa unaweza kubariki kuwa na utambulisho wa Wadudu.

Watu wa Arusha mnapaswa kujitathmini kwa Huu Ujinga.

Wasalam.
Mkuu, the root cause la tatizo siyo Arusha... Bali ni wana ccm make chama kimewafundisha kuacha kutumia akili!
Makonda kaingia Arusha April mwaka jana 2024 mpaka leo hii August ana uzoefu wa mwaka na miezi 3!
Kuna maeneo mengi tu ya Arusha hakuweza kufika akiwa mkuu wa mkoa. Kama mgombea ubunge kuna maeneo mengi tu ya Arusha hayajui. Na wana ccm mazuzu wanamshangilia!

Akiwa mkuu wa mkoa aliwarubuni watu na Pikipiki rally (haijajirudia), nyamachoma festival (haijajirudia), land Rover festival (haijajirudia), huduma za afya Sheikh Amri Abeid (hazijajirudia)... Kifupi Makonda ni populist tapeli na siyo strategist mzalendo. Vingi anafanya ni vituko!
Ukiwauliza wanamsapoti wakupe walahu mafanikio yake matatu tu hawawezi kutaja hata moja tofauti na vituko.

Sasa nikupe mtazamo wangu kuhusu Arusha:
Tatizo la Arusha mjini ni ubinafsi unaotokana na elite capture... Yaani kuna baadhi ya wakongwe wa ccm wamelikamata Jimbo watakalolitaka ndo wanataka liwe!
In short Makonda atapita ubunge lakini atawekwa mfukoni kwa maslahi ya wachache!
Anyways kuna tetesi watampa uwaziri wa maliasili ama ardhi ili alinde maslahi ya SHH anayezidi kukwapua maeneo ya Arusha mjini, Karatu na Ngorongoro!

My bet: Makonda ni project ya SSH mkwapuaji mwenzake!
 
Habari za Muda huu

Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza

i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana haki ya kugombea, Makonda amekaa Arusha kwa kipindi gani mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa

2. Je! katika Uhalisia, kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa nani ana nafasi nzuri ya kusaidia mchakato wa Maendeleo.

Mkuu wa Mkoa yupo Upande wa Serikali na Serikali ndio inayotoa Fedha ikiwa na maana Mkuu wa Mkoa ana nafasi nzuri ya kutumia Mamlaka kuhamasisha Mchakato wa Maendeleo.

Jambo gani ambalo Makonda kashindwa kulifanya kama mkuu wa Mkoa anadhani akiwa Mbunge atafanikisha??


3. Gambo akiwa mkuu wa mkoa alitifuana na Lema akiwa Mbunge. Mwisho Lema akaondoka akabaki Gambo. Mtifuano ule ambao Gambo alikua anaufanya kwa Lema ukahamia kwa Watumishi. Alitifuana sana na Watumishi.


4. Arusha baada ya kukubali utambulisho wao kuwa "Wadudu" hapo nikajua kuna tatizo kubwa sana. Namna gani mkoa unaweza kubariki kuwa na utambulisho wa Wadudu.

Watu wa Arusha mnapaswa kujitathmini kwa Huu Ujinga.

Wasalam.
Pole sana. Inaonekana umeumia sana kwa Makonda kuendelea kukubalika licha ya kutumia nguvu nyingi na kubwa kumchafua! Watu wa Arusha wana akili sana! Haikuitwa Geneva ya Afrika bure na Makonda ndio anaenda kuwa Mbunge wao!!
 
Wajumbe wa kigamboni hawakuwa watu wa kupenda kupewa mvinyo, bia, pombe na nyama kama ilivyo kwa wajumbei wa Arusha. Inasemekana wajumbe wengi wa Arusha ambao ni reflection ya wakazi na wapiga kura wa Arusha mjini wanahusudu sana starehe ya pombe na nyama choma na hapo ndipo Daudi Albert Bashite amewashikia na kuwalogea hapo.

ARACHUGA msiuze utu wenu kwa starehe za muda mfupi. Wajumbe wa kigamboni kwa kushirikiana na mbunge wao mzawa wa kigamboni Hayati Dr. Ndungulile walinusa ulafi na ufisadi wa ardhi hasa maeneo potential ya uwekezaji ya fukwe za bahari beach plots na maeneo ya viwanda ambayo RC Bashite kipindi hicho aliyatamani na kuyamezea mate. Kwa hiyo walijua na kutambua fika kuwa jamaa akiwa mbunge tu angetumia mamlaka yake kuwapora wazawa maeneo yao ya urithi wa ardhi walioachiwa na wazazi wao.
 
🌐 POLITICAL REALITY CHECK ABOUT PAUL MAKONDA 🌐

Watu wengi wanashangaa kwanini Makonda amekuwa akibadilisha nafasi mara kwa mara kutoka RC Dar, akataka ubunge CCM wakamkataa, akapewa RC Arusha, na sasa tena jina lake limepita kwenye ubunge.

❗ Let’s be honest:
Kama kweli nia yake ni kusaidia wananchi “from the heart”, nafasi ya RC ni platform kubwa ya kufanya impact kuliko ubunge. Lakini kwa nini kuacha nafasi yenye nguvu ya maendeleo na kukimbilia ubunge?

📌 Answer is simple:
Hii ni classic example ya “Political Capitalization.” Anaweka maendeleo mbele ya macho ya wananchi si kama huduma ya dhati, bali kama political ladder ya kupandia juu.

🇹🇿 Truth be told:
Makonda anatumia miradi ya maendeleo as a tool of manipulation kuwashawishi wananchi wamchukue kama mkombozi, wakati lengo halisi ni kuongeza influence yake binafsi kisiasa.

⚠️ Bottom line:
Wananchi wasidanganywe na speed ya miradi au maneno ya huruma.
This is not about people, it’s about power!

🔥 Conclusion:
Makonda is not real. Anaendesha siasa kwa mtindo wa kujenga “image” ya mkombozi ili ku-turn wananchi into a political ladder. This is pure hunger for power, not service.
Mkuu nikukumbushe jambo
Kazi yoyote unayofanya au unayofanya mtu huwa kwa masirahi yake then kwa wengine.. kwa hyo hoja kwamba anamasilahi ni sahihi kabisa anayo ila sasa anayatekelezaje! Kama katika kuyatekeleza anawahudumia watu it's good thing kwake... utaona namna alivyo kuwa mwenezi palichangamka kwelkwel na hata arusha pamebadilika.. so far malengo binafsi ni mhim...


Hata biashara ni malengo binafsi nn ambacho si malengo binafsi? Kwangu makonda yupo sahihi... mapungufu kila mtu anayo ila ukubwa wake ndo unatofautiana..
 
Back
Top Bottom