Arusha Mjini: Inaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania

Habari za Muda huu

Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza

i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana haki ya kugombea, Makonda amekaa Arusha kwa kipindi gani mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa

2. Je! katika Uhalisia, kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa nani ana nafasi nzuri ya kusaidia mchakato wa Maendeleo.

Mkuu wa Mkoa yupo Upande wa Serikali na Serikali ndio inayotoa Fedha ikiwa na maana Mkuu wa Mkoa ana nafasi nzuri ya kutumia Mamlaka kuhamasisha Mchakato wa Maendeleo.

Jambo gani ambalo Makonda kashindwa kulifanya kama mkuu wa Mkoa anadhani akiwa Mbunge atafanikisha??

3. Gambo akiwa mkuu wa mkoa alitifuana na Lema akiwa Mbunge. Mwisho Lema akaondoka akabaki Gambo. Mtifuano ule ambao Gambo alikua anaufanya kwa Lema ukahamia kwa Watumishi. Alitifuana sana na Watumishi.

4. Arusha baada ya kukubali utambulisho wao kuwa "Wadudu" hapo nikajua kuna tatizo kubwa sana. Namna gani mkoa unaweza kubariki kuwa na utambulisho wa Wadudu.

Watu wa Arusha mnapaswa kujitathmini kwa Huu Ujinga.

Wasalam.
Hizo ni njaa za wajumbe wa Ccm. Rushwa ita liangamiza Taifa
 
Nilishawahi kuandika humu ,kati mikoa yenye watu washamba ni Arusha watu hawakunielewa!!! Usela mavi!! Kuvunja Sheria ndio ujanja,Bado wanatembea na visu na kupora watu !!! Yani ni kamji kahovyo mno
sahii kabisa nakunywa pombe kali ndio ujuaje aiwezekani aje mtu aliko toka mnampa uongozi kindezi ndezi
 
Mikoa miwili ndizo zimemnyanyua Bw. Paul Makonda kisiasa hadi kufikia hapo alipo ni Kilimanjaro na Arusha. Kuanzia akiwa Mjumbe wa Shina, Rais wa Chuo cha Ushirika Moshi , Rais wa TAHLISO na RC Arusha.
 
Nyie tunawajua mmeenda mjini kwa tamaa tamaa zenu za .maisha furani furani vijana wameuza utu wao wamegeuka Michele mchele
Vijana wa chuga wengi wameolewa trust ulaya wakina chindo Man umbwa wako wengi
 
🌐 POLITICAL REALITY CHECK ABOUT PAUL MAKONDA 🌐

Watu wengi wanashangaa kwanini Makonda amekuwa akibadilisha nafasi mara kwa mara kutoka RC Dar, akataka ubunge CCM wakamkataa, akapewa RC Arusha, na sasa tena jina lake limepita kwenye ubunge.

❗ Let’s be honest:
Kama kweli nia yake ni kusaidia wananchi “from the heart”, nafasi ya RC ni platform kubwa ya kufanya impact kuliko ubunge. Lakini kwa nini kuacha nafasi yenye nguvu ya maendeleo na kukimbilia ubunge?

📌 Answer is simple:
Hii ni classic example ya “Political Capitalization.” Anaweka maendeleo mbele ya macho ya wananchi si kama huduma ya dhati, bali kama political ladder ya kupandia juu.

🇹🇿 Truth be told:
Makonda anatumia miradi ya maendeleo as a tool of manipulation kuwashawishi wananchi wamchukue kama mkombozi, wakati lengo halisi ni kuongeza influence yake binafsi kisiasa.

⚠️ Bottom line:
Wananchi wasidanganywe na speed ya miradi au maneno ya huruma.
This is not about people, it’s about power!

🔥 Conclusion:
Makonda is not real. Anaendesha siasa kwa mtindo wa kujenga “image” ya mkombozi ili ku-turn wananchi into a political ladder. This is pure hunger for power, not service.
Anatumia style ya Magu
 
Huyu jamaa na kule kigamboni aliomba kugombea pia .Mtu mmoja kagombea majimbo ya mikoa tofauti kama sio tamaa za fisi hizo.
 
Habari za Muda huu

Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza

i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana haki ya kugombea, Makonda amekaa Arusha kwa kipindi gani mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa

2. Je! katika Uhalisia, kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa nani ana nafasi nzuri ya kusaidia mchakato wa Maendeleo.

Mkuu wa Mkoa yupo Upande wa Serikali na Serikali ndio inayotoa Fedha ikiwa na maana Mkuu wa Mkoa ana nafasi nzuri ya kutumia Mamlaka kuhamasisha Mchakato wa Maendeleo.

Jambo gani ambalo Makonda kashindwa kulifanya kama mkuu wa Mkoa anadhani akiwa Mbunge atafanikisha??

3. Gambo akiwa mkuu wa mkoa alitifuana na Lema akiwa Mbunge. Mwisho Lema akaondoka akabaki Gambo. Mtifuano ule ambao Gambo alikua anaufanya kwa Lema ukahamia kwa Watumishi. Alitifuana sana na Watumishi.

4. Arusha baada ya kukubali utambulisho wao kuwa "Wadudu" hapo nikajua kuna tatizo kubwa sana. Namna gani mkoa unaweza kubariki kuwa na utambulisho wa Wadudu.

Watu wa Arusha mnapaswa kujitathmini kwa Huu Ujinga.

Wasalam.
Tatizo haliko Arusha tu bali ni Tanzania nzima. Watu hawaoni correlation kati ya uongozi na maisha yao.
 
So to say, that's a perfect definition of the

That's a perfect definition of the so called politics in the " shithole" countries!
 
Arusha nimeishi 30 + .. ilikuwa zamani ... kizazi cha sasa hawajitambui ni kutokana na madhara ya bangi na pombe zisizo na TBS . Makonda kawawin pa dogo sana wanamuona ni mtetezi wao . Wanashindwa kabisa kujua mtu anaewapenda mfn Lema Godbless .
 
Huyu jamaa na kule kigamboni aliomba kugombea pia .Mtu mmoja kagombea majimbo ya mikoa tofauti kama sio tamaa za fisi hizo.
Hii ni ishara ya Kibri cha hali ya Juu sana. Anadhani popote anaweza kugombea na akashinda.
 
Arusha nimeishi 30 + .. ilikuwa zamani ... kizazi cha sasa hawajitambui ni kutokana na madhara ya bangi na pombe zisizo na TBS . Makonda kawawin pa dogo sana wanamuona ni mtetezi wao . Wanashindwa kabisa kujua mtu anaewapenda mfn Lema Godbless .
Arusha ni Pombe, Mirungi na Bhangi. Ndio maana walikubali Identity yao kuwa ni wadudu.
 
Tatizo haliko Arusha tu bali ni Tanzania nzima. Watu hawaoni correlation kati ya uongozi na maisha yao.
Watu wanachukulia kama Jokes inapofika swala la kupata Kiongozi wa kuwawakilisha... Tunachagua kwa Ushabiki badala ya kuReasoning ya Kisawa Sawa.
 
Kwa miaka mitano, mbunge wa Tanzania analipwa 1,201,500,000 (Bilioni moja na milioni 200)
Gari mpya...Land Cruser ZX
Posho ya kila kikao 300.000
Kiinua mgongo millioni 500....
 
Habari za Muda huu

Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza

i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana haki ya kugombea, Makonda amekaa Arusha kwa kipindi gani mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa

2. Je! katika Uhalisia, kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa nani ana nafasi nzuri ya kusaidia mchakato wa Maendeleo.

Mkuu wa Mkoa yupo Upande wa Serikali na Serikali ndio inayotoa Fedha ikiwa na maana Mkuu wa Mkoa ana nafasi nzuri ya kutumia Mamlaka kuhamasisha Mchakato wa Maendeleo.

Jambo gani ambalo Makonda kashindwa kulifanya kama mkuu wa Mkoa anadhani akiwa Mbunge atafanikisha??

3. Gambo akiwa mkuu wa mkoa alitifuana na Lema akiwa Mbunge. Mwisho Lema akaondoka akabaki Gambo. Mtifuano ule ambao Gambo alikua anaufanya kwa Lema ukahamia kwa Watumishi. Alitifuana sana na Watumishi.

4. Arusha baada ya kukubali utambulisho wao kuwa "Wadudu" hapo nikajua kuna tatizo kubwa sana. Namna gani mkoa unaweza kubariki kuwa na utambulisho wa Wadudu.

Watu wa Arusha mnapaswa kujitathmini kwa Huu Ujinga.

Wasalam.
Umejaa ukabila tu, mbona Lemma ni wa Machame huko
 
Back
Top Bottom