Arusha Mjini: Inaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania

Habari za Muda huu

Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza

i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana haki ya kugombea, Makonda amekaa Arusha kwa kipindi gani mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa

2. Je! katika Uhalisia, kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa nani ana nafasi nzuri ya kusaidia mchakato wa Maendeleo.

Mkuu wa Mkoa yupo Upande wa Serikali na Serikali ndio inayotoa Fedha ikiwa na maana Mkuu wa Mkoa ana nafasi nzuri ya kutumia Mamlaka kuhamasisha Mchakato wa Maendeleo.

Jambo gani ambalo Makonda kashindwa kulifanya kama mkuu wa Mkoa anadhani akiwa Mbunge atafanikisha??

3. Gambo akiwa mkuu wa mkoa alitifuana na Lema akiwa Mbunge. Mwisho Lema akaondoka akabaki Gambo. Mtifuano ule ambao Gambo alikua anaufanya kwa Lema ukahamia kwa Watumishi. Alitifuana sana na Watumishi.

4. Arusha baada ya kukubali utambulisho wao kuwa "Wadudu" hapo nikajua kuna tatizo kubwa sana. Namna gani mkoa unaweza kubariki kuwa na utambulisho wa Wadudu.

Watu wa Arusha mnapaswa kujitathmini kwa Huu Ujinga.

Wasalam.
Hakika utakuwa ujinga uliopitiliza wana Arusha kumpokea pandikizi katika ardhi yao, tena pandikizi mwenye historia hasi kwa watu wa Kaskazini.

Anyway hata hivyo CCM haitegemei sana kura za wananchi, wana namna mbadala pia ya kupata ushindi hata kwa mkono wa chuma.
 
Habari za Muda huu

Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza

i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana haki ya kugombea, Makonda amekaa Arusha kwa kipindi gani mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa

2. Je! katika Uhalisia, kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa nani ana nafasi nzuri ya kusaidia mchakato wa Maendeleo.

Mkuu wa Mkoa yupo Upande wa Serikali na Serikali ndio inayotoa Fedha ikiwa na maana Mkuu wa Mkoa ana nafasi nzuri ya kutumia Mamlaka kuhamasisha Mchakato wa Maendeleo.

Jambo gani ambalo Makonda kashindwa kulifanya kama mkuu wa Mkoa anadhani akiwa Mbunge atafanikisha??

3. Gambo akiwa mkuu wa mkoa alitifuana na Lema akiwa Mbunge. Mwisho Lema akaondoka akabaki Gambo. Mtifuano ule ambao Gambo alikua anaufanya kwa Lema ukahamia kwa Watumishi. Alitifuana sana na Watumishi.

4. Arusha baada ya kukubali utambulisho wao kuwa "Wadudu" hapo nikajua kuna tatizo kubwa sana. Namna gani mkoa unaweza kubariki kuwa na utambulisho wa Wadudu.

Watu wa Arusha mnapaswa kujitathmini kwa Huu Ujinga.

Wasalam.
Mkuu bado unapigia chapuo ukabila katika karne hii? Au una maana gani unapozungumzia nasaba ya Makonda katika Mkoa wa Arusha?
 
We uwajui watu wa uko wapo radhi mkewe akapigwe shoo ili tu apate pesa wanashobo za ajabu kwa mtu mwenye kitu wao kuuza utu wao siyo issue ili tu maisha yao yaende pasipo kuangalia kesho yao
Arusha wana dhalilisha sana Tanzania, hawa Jamaa wanaweza kuuza utu wao kisha Fedha....

Makona ameenda Arusha sababu ya Ukuu wa Mkoa, hana Historia yoyote na Arusha. Leo hii anaenda kuchukua Form na kuna Wajumbe wengi tu wanashangilia.

Hii itajenga Msingi kwa Wakuu wa Mikoa mingine kutafuta Ubunge ktk Mikoa wanayapongiwa. Itazalisha vurugu sana.

Kwanini hakurudi Kigamboni ambako aligombea 2020 na Wajumbe wakamla kichwa.
 
🌐 POLITICAL REALITY CHECK ABOUT PAUL MAKONDA 🌐

Watu wengi wanashangaa kwanini Makonda amekuwa akibadilisha nafasi mara kwa mara kutoka RC Dar, akataka ubunge CCM wakamkataa, akapewa RC Arusha, na sasa tena jina lake limepita kwenye ubunge.

❗ Let’s be honest:
Kama kweli nia yake ni kusaidia wananchi “from the heart”, nafasi ya RC ni platform kubwa ya kufanya impact kuliko ubunge. Lakini kwa nini kuacha nafasi yenye nguvu ya maendeleo na kukimbilia ubunge?

📌 Answer is simple:
Hii ni classic example ya “Political Capitalization.” Anaweka maendeleo mbele ya macho ya wananchi si kama huduma ya dhati, bali kama political ladder ya kupandia juu.

🇹🇿 Truth be told:
Makonda anatumia miradi ya maendeleo as a tool of manipulation kuwashawishi wananchi wamchukue kama mkombozi, wakati lengo halisi ni kuongeza influence yake binafsi kisiasa.

⚠️ Bottom line:
Wananchi wasidanganywe na speed ya miradi au maneno ya huruma.
This is not about people, it’s about power!

🔥 Conclusion:
Makonda is not real. Anaendesha siasa kwa mtindo wa kujenga “image” ya mkombozi ili ku-turn wananchi into a political ladder. This is pure hunger for power, not service.
Alichokifanya Arusha huyo RC Makonda, wananchi wanakijua, wamemkubali, tuache wivu
 
Tulia 😎
Chugga sio wajinga.
Mjinga ni wewe unayetufuatilia na hao uliowataja.
Shwaiiini!!
Arusha inatambulisha kama Nembo ya Ujinga Tanzania.. Namna gani mnakubali kuwa na Utambulisho wa wadudu??

Namna gani mnakubali kuachia Jimbo kindezi namna hii
 
🌐 POLITICAL REALITY CHECK ABOUT PAUL MAKONDA 🌐

Watu wengi wanashangaa kwanini Makonda amekuwa akibadilisha nafasi mara kwa mara kutoka RC Dar, akataka ubunge CCM wakamkataa, akapewa RC Arusha, na sasa tena jina lake limepita kwenye ubunge.

❗ Let’s be honest:
Kama kweli nia yake ni kusaidia wananchi “from the heart”, nafasi ya RC ni platform kubwa ya kufanya impact kuliko ubunge. Lakini kwa nini kuacha nafasi yenye nguvu ya maendeleo na kukimbilia ubunge?

📌 Answer is simple:
Hii ni classic example ya “Political Capitalization.” Anaweka maendeleo mbele ya macho ya wananchi si kama huduma ya dhati, bali kama political ladder ya kupandia juu.

🇹🇿 Truth be told:
Makonda anatumia miradi ya maendeleo as a tool of manipulation kuwashawishi wananchi wamchukue kama mkombozi, wakati lengo halisi ni kuongeza influence yake binafsi kisiasa.

⚠️ Bottom line:
Wananchi wasidanganywe na speed ya miradi au maneno ya huruma.
This is not about people, it’s about power!

🔥 Conclusion:
Makonda is not real. Anaendesha siasa kwa mtindo wa kujenga “image” ya mkombozi ili ku-turn wananchi into a political ladder. This is pure hunger for power, not service.
Usimshangae Makonda....ndio aina ya siasa zilizopo nchini.
 
Akiwa Mbunge ndio hawezi kabisa kufanya ila anadhani atakuwa Waziri Ili awe na sauti zaidi.
Ushindi mkubwa wa makonda unatokana na watanzania kufikiri mtu aliyesababisha matatizo (ccm) inaweza anaweza akawa na solution
 
Mkuu bado unapigia chapuo ukabila katika karne hii? Au una maana gani unapozungumzia nasaba ya Makonda katika Mkoa wa Arusha?
Sio Ukabila Jombaa, lazima Mbunge na Vinasaba vya Jimbo husika. Hauwezi kuwakilisha Jamii ambayo huijui.

Ni kama kiongozi wa Kiislam kwenda Kuwakilisha Jamii ya Kikristo. Hapo lazima atazingua.
 
Kwa hawa watanzania ninao waona. Siyo rahisi.
Ccm wamefanikiwa sana kuharibu akili za akili za watanzania.
Na Ujinga wa Watanzania ndio Mtaji Mkubwa sana wa CCM.
 
Mkuu kwanza inapaswa uelewe,Ujinga wa watu wa Arusha siyo Ujinga wa Watanzania wote;Binafsi naungana na wewe kwamba,kiwango Cha Ujinga ni kikubwa kuliko mikoa mingine,yawezekana ndiyo Mkoa ukawa unaongoza Kwa watu wajinga Tanzania !

Daudi Albert Bashite kugombea Arusha si kuwasaidia Watanzania,Bali inawezekana nikwa malengo yake Binafsi,Kama ulivyosema Mkuu wa Mkoa ana nafasi kubwa ya kusukuma gurudumu la Maendeleo kwenye Mkoa husika kuliko Mbunge !

Yaelekea posho,Mshahara na Marupurupu ya Mkuu wa Mkoa ni Cha mtoto ukilinganisha na Mbunge anachopata!,Pia Daudi Albert Bashite yeye anaangalia fursa ya uwezekano wa Kuwa Waziri !
 
Arusha inatambulisha kama Nembo ya Ujinga Tanzania.. Namna gani mnakubali kuwa na Utambulisho wa wadudu??

Namna gani mnakubali kuachia Jimbo kindezi namna hii
Kumbe mikoa sisi Role model wenu ndiyo maana tukizingua tunachukua hatia ya Taifa zima.

Mkuu kilichopangwa kimepangwa, Acha wacheze na ubunge Si tunacheza na uraisi.
 
Habari za Muda huu

Kila nikiangalia Siasa za Arusha zinaonyesha kiwango cha Ujinga wa Watanzania. Naomba kuuliza

i. Makonda ana vinasaba gani na Mkoa wa Arusha. Hata kama Arusha kila mmoja ana haki ya kugombea, Makonda amekaa Arusha kwa kipindi gani mbali na kuwa Mkuu wa Mkoa

2. Je! katika Uhalisia, kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa nani ana nafasi nzuri ya kusaidia mchakato wa Maendeleo.

Mkuu wa Mkoa yupo Upande wa Serikali na Serikali ndio inayotoa Fedha ikiwa na maana Mkuu wa Mkoa ana nafasi nzuri ya kutumia Mamlaka kuhamasisha Mchakato wa Maendeleo.

Jambo gani ambalo Makonda kashindwa kulifanya kama mkuu wa Mkoa anadhani akiwa Mbunge atafanikisha??

3. Gambo akiwa mkuu wa mkoa alitifuana na Lema akiwa Mbunge. Mwisho Lema akaondoka akabaki Gambo. Mtifuano ule ambao Gambo alikua anaufanya kwa Lema ukahamia kwa Watumishi. Alitifuana sana na Watumishi.

4. Arusha baada ya kukubali utambulisho wao kuwa "Wadudu" hapo nikajua kuna tatizo kubwa sana. Namna gani mkoa unaweza kubariki kuwa na utambulisho wa Wadudu.

Watu wa Arusha mnapaswa kujitathmini kwa Huu Ujinga.

Wasalam.
Sasa Gambo nae,analalama,Makonda anapambana na Gambo! Arusha ni shamba la Bibi,Wana Arusha,Mjitafakari!
 
Binafsi Makonda simkubali kabisa ni mtu wa hovyo na mwenye majivuno ya kishamba sana.

Lakini lazima tuanze kuzoea major cities au wilaya za mjini zikiwa na wabunge ambao sio wazaliwa wa hilo eneo mradi wanaishi huko.

Ujinga ni kuchagua mpita njia (awe mzaliwa au mgeni) na kuacha wale ambao makazi yao ya kudumu yapo kwenye jimbo.

We all know Makonda makazi yake ya kudumu yapo Dar na vitega uchumi vyake vipo Dar na Mwanza; huko Arusha anawatumia tu.

Iła CCM ya Samia imeharibu karibu kila kitu. Analeta mambo yao yaliyoshamiri ya nepotism huko Zanzibar kwa miaka mingi na bara.

A very bad president
 
Back
Top Bottom