rutashubyanyuma tafadhali usipost propaganda mnapotosha jamvi hili.. mpaka sasa hajatangazwa mtu na sasa saa9 na dk36 natazama live star tv anjelo moreka anaripoti na wanangojea. tuheshimu jamvi hili
Hakika mungu yupo na watanzania atawapa viongozi maowataka tuongeza sara hawa ccm aibu kwao mzaha waweza fanya lolote muda wowote. Tuombe mungu awatwange woote wabaya wakalazwe wakirudi waone haki ishatendeka
Usichezee akili za watu wewe. Huna adabu. Mods tafadhali naona viwavi vimevamia jamvi hili. Kama unaweka kitu hapa be objective ukijua kuwa hapa wako watu wazima, no kids. Hata watoto siku hizi wanajua haki zao!