Mau Mau
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 672
- 478
Jana baada ya kuingia Mjini Arusha na leo katika pitapita zangu, nimeshtushwa na pilika za usafi wa hali ya juu katika jiji hili.
Jiji ni safi sikuwahi kutegemea, hakika kichaa kapewa Rungu. Shikeni hapo hapo, hii ni faraja kwa wanaarusha kuwa hamuwaangushi. Hata sie wanaccm tunayaona mabadiliko mnayoonesha.
*MUNGU AZIDI KUWATIA NGUVU*