Arusha Mjini, CHADEMA mlikuwa wapi miaka yote??

Arusha Mjini, CHADEMA mlikuwa wapi miaka yote??

Kishu,Jombi,chali angu sisi huku tulishazika hilo lichama la sisiem lenye laana toka kwa Mungu na kulaaniwa na Wanadamu pia kwa kutunyima hata uwezo wa diko pa day ni msala.
Huku VIva CDM,UKAWA Aluta Continua...Mzee wa Msoga na Mkapa wanatujua ni mazoea hatutaki na hilo ni laana na Mungu aliadhibu kisawasawa.
 
Mkuu mpk 2015 inaisha jiji lilikuwa chafu sana, na madiwani ndio wajumbe wa halmashauri, na nimesikia eti chadema ktk hyo halmashauri wana madiwani zaid ya 30 na sie CCM mmoja tu
Ngoja wakae pembeni, wanaoweza wafanye kazi
 
Tanzania ya Magufuli kila mkoa sasa ni msafi tu.

Hongera sana jembe letu Magufuli rais wetu mpendwa.

Chadema wametawala Arusha tokea 2010 walikuwa wapi mpaka hii enzi ya chaguo la Mungu Magufuli ndio wafanye usafi?

Meya wa jiji kipindi kilichopita aliyeingizwa kwa kumwaga damu ya wana Arusha, alikuwa wa CDM?
 
Back
Top Bottom