Arusha- Mji wa kitalii - mji uliojaa kinyesi

Jamani crashwise na uchafu pia ni ukatili? Punguza hasira, chukua hatua stahili.
Ni kero tu mkuu...hasa nikikumbuka juzi mkuu wa mkoa kafunga barabara kisa mke wake anasema magari yanatimua vumbi nyumbani kwake...
 
Niliongea na wasaidizi wake wakani jibu hayani husu na matusi kibao...
pole sana mkuu. Serikali legelege, watumishi jeuri.
Utashangaa ukipaki gari vibaya, wanakuja migambo kumi kupiga pin, mavi yakitiririka barabarani, chang'a na viroboto wenzake wanachekacheka tu ofisini.
Inanikera mm, kama vipi tungeweza kutungua viroboto wote wanaojifanya jeuri. Kitu cha kiuno, anakaa mount meru mwaka. Nyambaf
 
hilo tatizo wameshindwa kulipatia ufumbuzi......... mara kwa mara hiyo barabara inatapika maji machafu..........ukifwatilia kwa karibu utapewa gharama za kutisha kwa ajili ya matengenezo lakini hayafanyiki kwa ukamilifu
 
Leo ni zaidi ya maji yaani ni mavi.....
 
Its time now watu wakaweka usiasa pembeni, badala ya kujenga tutabomoa, Arusha ni mji wa kitalii huu uchafu usinge paswa kuonekana mlio ngazi za juu hebu tendeni kazi msije mkashangaa come 2015 mkatupwa nje, wapiga kura mara nyingi huwa wanarefer what you have done, then maamuzi yanafuata.
 
Mimi ni mtu wa Arusha ndiyo maana nimekereka sana mbaya zaidi baada ya kuwaambia wahusika nikambulia matusi kidogo tupigane...

This is ridiculous!!!! yaani badala ya kushukuru kwa kuwapa taarifa wakakutukana?. Tatizo la waTZ wengi wanajiona wako perfect na hii inanikumbusha siku moja dada mmoja alimwona mwenzake nguo zip kwa nyuma imeachia na kistaarabu akamkaribia na kumwambia" anti zip imeachia" yule dada akamjibu "HAYAKUHUSU".

Hii ni silika ya watu ambao ni failure tayari kwani kwa mtu anayetaka kufanya kazi yake kama mtu mwenye akili timamu lazima atapenda ushauri. Tatizo pia la hawa wazibuaji wa mifereji ni watu waliokata tamaa, waliojikataa na wanaohisi kila mtu anawacheka na mtu wa namna hiyo ukimgusa au kumsemesha kwa minajili ya kumsaidia ataporomosha vitu utafikiri umefungulia koki. Pole crashwise!!!!
 
Its time now watu wakaweka usiasa pembeni, badala ya kujenga tutabomoa, Arusha ni mji wa kitalii huu uchafu usinge paswa kuonekana mlio ngazi za juu hebu tendeni kazi msije mkashangaa come 2015 mkatupwa nje, wapiga kura mara nyingi huwa wanarefer what you have done, then maamuzi yanafuata.

i beg to differ,...sisi ndio tumewa zoeza hawa watawala wetu kwa kuwapa kura hata kama hawajafanya lolote la maana,..mfano ni rais(kikwete)hajafanya lolote la maana kipindi kilicho pita lakn tukampitisha kwa kipindi kingine cha 5yrs......kwa hiyo tunafanya maamuzi bila reference yoyote...tunatumia akili za kimasabuli
 
mavi mavi matupu ile njia ya kwenda sokoni kupita pale hotel ya palson ndo balaa yani mavi matupu na sokoni wanapanga mboga za majani chini that means wanawalisha mavi wateja wao...pyuuuuuuuuuuuuuuu
 
Hii ni kero lakn hebu jaribu kutulia na kutumia tafsida mkuu
Inaonekana umekeraka sana kitendo cha mimi kutumia neno mavi lakini kama ungeyaona yakiwa katikati ya mji wa kitalii a.k.a Geneva of Africa usingekereka na mimi kutumia neno hilo, mbaya zaidi unawaambia wahusika wana kuporomoshea matusi...
 
Mimi ni mtu wa Arusha ndiyo maana nimekereka sana mbaya zaidi baada ya kuwaambia wahusika nikambulia matusi kidogo tupigane...

Niaje aisee.... Hivi wewe unakalia pande zipi Chali yangu?..............Wiki ijayo natua huko, tukutane kwa Moromboo, si itakuwa powa tu...... au?
 
mavi mavi matupu ile njia ya kwenda sokoni kupita pale hotel ya palson ndo balaa yani mavi matupu na sokoni wanapanga mboga za majani chini that means wanawalisha mavi wateja wao...pyuuuuuuuuuuuuuuu
Mkuu umeona mziki huo....ngoja tuwahamasishe watu wasokoni wangome kulipa ushuru haiwezekani ujinga huu uendelee
 
Niaje aisee.... Hivi wewe unakalia pande zipi Chali yangu?..............Wiki ijayo natua huko, tukutane kwa Moromboo, si itakuwa powa tu...... au?
Karibu sana arusha jiji la mavi...natumaini utakuta wametatua...hahahah
 
mavi mavi matupu ile njia ya kwenda sokoni kupita pale hotel ya palson ndo balaa yani mavi matupu na sokoni wanapanga mboga za majani chini that means wanawalisha mavi wateja wao...pyuuuuuuuuuuuuuuu

Tumia neno "VINYESI"............... Wewe ni Muarusha nini?
 
katika hali isiyo vumilika mji wa Arusha umekuwa ikubwa na upasukaji/kuziba kwa mabomba ya maji machafu( mavi) na kusababisha kero kubwa kwa wakazi wa Arusha na mbaya zaidi kila linapotokea tatizo hili huchukua siku si chini ya siku tatu kutatuliwa na maeneo sugu kabisa ni kuzunguka uwanja wa Sheikh Amri Abeid, makongoro Road na barabara ya uhuru lakini ya leo imenikera kuliko siku zote kwani ukipita barabara ya uhuru utakuta mavi siyo maji ya mavi barabarani na ukipandisha hii barabara ya sokoni karibu na Pallson Hotel napo mambo ni hovyo kabisa sasa najiuliza huu ni mji wa kitalii au mji wa mavi...
View attachment 37097
hii ni mizinga ya kinyesi kama inavyoonekana karibu kabisa na soko kuu la Arusha....
Mbaya zaidi ni mavi ya wahindi.
 
Inaonekana umekeraka sana kitendo cha mimi kutumia neno mavi lakini kama ungeyaona yakiwa katikati ya mji wa kitalii a.k.a Geneva of Africa usingekereka na mimi kutumia neno hilo, mbaya zaidi unawaambia wahusika wana kuporomoshea matusi...

sio kwamba nimekereheka mkuu,..ujumbe ni mzuri sana ila hilo neno mimi sijui najisikia vip kiongozi wangu....otherwise we are sailling in the same boat mkuu......
 
Arusha tatizo ni wakazi wanaoishi hapa. Kila mahali ni pachafu hata majumbani kwa watu ni wachafu. Niliwahi kumwona dada fulani kaotesha majani (Garden) pembezoni mwa barabara uongozi ukwamuamuru ayang`oe, kisa ni aneo la barabara.Pita Kimandolu Stendi pembeni kabisa ya barabara ya Arusha- Moshi kuna dampo limewekwa hapo na hii ndio Kata anayotoka Meya Msaidizi aliyejichakachua mwenyewe. Tatizo ni USTAARABU hatuna watu wa A-Town.
 
Back
Top Bottom