Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 142
Acha atuhabarishe kama vipi hutaki kusikia kajisaidie ulale, hizi si enzi za RTD huwezi zuia nguvu ya internet.Hao wanaogoma wanamgomea nani? Halafu wewe Crashwise, acha kuwasemea watu wa Arusha kama kugoma goma peke yako na Toyo yako
Sinto shangaa watu hawa kugoma, kwani siku zote watu wa arusha wamekuwa wanashikwa masikio na fikra zao ni changa
kwanini wanachadema tusitafute njia nzuri ya kupata suluhisho la hili jambo? tunataka kupoteza tena wenzetu? Tusipende kumwaga damu kwa jambo lisilokuwa na Msingi. kama Mh Lema kaamua kwenda gerezani, tumwache apumzike huko, sisi huku tuendelee kukijenga chama!
Waliozoea kudhalilishwa huwa hawaoni hata wakivuliwa nguo mbele ya watoto,kuimarisha chama ni jambo endelevu haimaanishi tukae tunyamaze na kuinamisha vichwa chini eti kwasababu ni kichanga,hata mtoto ili atembee lazima apitie changamoto mbali mbali ,hivyo kutudhalilisha siyo sababu ya kutunyamazisha,anachotendewa Lema hata sisi kinatugusa.Haya ni maneno tu. Lema anajitafutie cheap popularity kwa hili. Tayari tumeshaona uwezo wake wa kufanya kazi. Chadema bado ni changa, tuache ushabiki.. kwa sasa watu tunashabikia anachokifanya Lema, but kina bad impact kwa chama.
hahahahahahaahahahahahaahahahahSema ungekuwa mkoa mwingine ningewaasa kuchukua precautionary measures. Lakini kwa Arusha! sio lazima, maana madereva wa dala dala na boda boda wa kule ni wasomi wengi wao wana degree mbili i.e masters wachache tu wana ka-degree kamoja, kwa hiyo wanajua wanachofanya, kwa maslahi yao.
inakuhusu?
mkuu, kiache hiki kidudu-mtu, kisikupotezee nishati mwilini. Kinafiki kinachojifanya ni pro-cdm, kumbe ni kimavi tu. Tunajua kuwa magamba ndo facebook members wenye cheap reasoninginakuhusu?
Nafarijika kusikia redio zinausoma maana kuna mtu jana alisema ni watanzania wachache sana walio na habari ya waraka wa Lema eti hawafiki hata 1/40 nikamuuliza anajua 1/40 ya watanzania ni ngapi hajanijibu hadi sasa.Asante sana.....leo kila mitaani nimeshangaa sana watu wako vikundi wana fatilia JF na kuusoma walaka wa Lema nikaona kuna haja ya kuuprint angalau kiasi na radio station za hapa Arusha wameusoma kuanzia jana jioni na leo Asubuhi naamini mpaka sasa mwana- Arusha(Mjini) ambae atakuwa hajui kinachoendelea basi ni wachache sana........
ushauri si maagizo weweNyie mtakuwa watu gani hata ushauri hamtaki
Nyie mtakuwa watu gani hata ushauri hamtaki
Kweli kuna wa2 wajinga waacha shughuli zao za msingi eti lema who is?
unawashwa eeeh? Unataka?Kweli kuna wa2 wajinga waacha shughuli zao za msingi eti lema who is?
Kwani mzee mmeshamchagulia kalavati? maana Gaddafi alikimbilia kwao Sirte akaona sehemu ya kujificha ni kwenye mtaro, sasa ninawasiwasi na makalavati ya Bwagamoyo.Mkuu kwa hiyo mtasaidiwa na Nato?
Duh hatari kubwa kwahiyo kesho nitoke na kile kiNoah changu kazi kweli kweli.
Watakaopata adha ya usafiri ni walalahoi wakubwa watapeta na miVX yao kama kawaida nadhani hili zoezi la kuandaa migomo lingeangalia nani mwathirika mkuu.
Hongereni ujumbe umefika.