Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,137
Wana JF,
Mwajua me nilidhani a Time Boom will take the ages kulipuka sasa naona kumbe muda wake umefika hata huko 2013 sidhani kama tutafika kwa hali hii ya police kufanya vitu makusudi.
KULAANI NA KUPINGA OCD-ARUSHA KUWAITA WANANCHI "PANYA".
hiii ni hatari kama wapiga kura tunaitwa panya hawa jamaa wamefika mbali sana sasa
naona wanaanza kuleta dharau za wazi wazi kabisa lazima watu waingie barabarani

Solidarity for ever! Peoples Power!
huo mgomo upokelewe nchi nzima na Zuberi Mwombeji awajibishwe kwa kuwaita wanadamu wenzake panya!
Mzaha mzaha.....kama watu wa daldala wakigoma kama walivyopanga na wanachi kuna hatari ya kuandamana na sisi kuungana nao na hapo ndiyo watajua mbichi na mbivu...........
Na nani dr, dr, dr, Kikwete sana sana atampandisha cheo....Kama kweli huyu jamaa kawaita wana arusha ni panya basi awajibishwe mapema. Vongozi kama hawa ndio watakaoitumbukiza Tanzania kwenye machafuko mabaya. Wakumbuke kwamba Gadafi aliwaita wanamapinduzi wa libya mamende na panya. Leo yuko wapi?
Dar es salaam is a place for Zombies, expect nothing Positive from there, to them life means breathing and ass kissing, exclude the few who lives there.hili ni wazo dogo sana lakini linaweza kuwa la kuanzia na laweza kuzaa matunda. Juzi DSM walisema wanaandamana lakini 'wabia wa Al-Shaabab' wakawazuia na nadhani kama ikianzanza Arusha hiyo kesho na Mwanza, Mbeya, Iringa wakasupport pia na Dar es Salaam(wengi hawaoni umuhimu) nao wakaitikia, inaweza kuzindua uhai wa nchi inayoonekana kuzimia!
Uwezi kuleta mabadiliko ukiwa nyuma ya keyboard na fc, jf nk. Inabidi vitendo viwepo na hivyo ni mojawapo!
Wito wa mgomo na maandamano ya kupinga Ukiukwaji wa Katiba, haki za Binadamu, ukatili wa police na udhalilishaji wa serikali kwa raia hapa nchini na hasa hapa Arusha. Damu ya mashujaa iliyomwagika kudai Uhuru, haki Uzalendo wa taifa iwe WINO wa kuasisi Taifa jipya.
Jasho la mateso na unyanyasaji liwe ISHARA ya utumwa wa mzawa ktk taifa lake na CHOZI la uchungu wa Umaskini, maradhi, ujinga na ufisadi liwe NISHATI ktk kuwasha taa ya HEKIMA, UJASIRI na NGUVU ya UMMA kuleta mapinduzi ya Kiraia.
KULAANI NA KUPINGA OCD-ARUSHA KUWAITA WANANCHI "PANYA".
Nawasilisha!
Duh hatari kubwa kwahiyo kesho nitoke na kile kiNoah changu kazi kweli kweli.
Watakao pata hadhaa ya usafiri ni walalahoi wakubwa watapeta na miVX yao kama kawaida nadhani hili zoezi la kuandaa migomo lingeangalia nani mwathirika mkuu.
Hongereni ujumbe umefika.
Tunisia ilianza na mmachinga, Libya walikuwa 'rats' (maneno ya Ghadafi). Tatizo hapa bongo wakubwa wameziba masikio na wanavaa mawani ya giza, na akili zao wameweka kwenye freezer.
Nasema hivyo kwa sababu wakubwa wameamua kupambana na mtu mmoja -Lema! Lakini wasilotambua ni kwamba Lema ni 'symbol' (alama) ya watanzania walio wengi, waliochoshwa na utawala mbovu.
Kumgusa Lema ni kugusa maelfu ya vijana wengi Arusha wanaobangaiza maisha. Siku wakiingia barabarani hakuna cha Zuberi au bosi wake na Zuberi. Nahofia nchi inaelekea huko. wakulaumiwa nani?