Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,819
- 225,609
Ila wachaga kwenye pesa anakuua sijui wapoje niliwah kuwa na rafiki wa kichaga sina hamu na nawaogopa mno
Ila wachaga kwenye pesa anakuua sijui wapoje niliwah kuwa na rafiki wa kichaga sina hamu na nawaogopa mno
Acha ujuaji wako wa kiarusha wakati Meno yako yote yamejaa tope!Niambie hapo ujuaji wangu ni upi?Mimi nimeishi Arusha miaka mingi kidogo.2000-2018 huo ni umri wako hapa duniani.Kwa nini nisiijue Arusha?Nimevunjiwa Nyumba mara kadhaa,huo sio wizi?Kuna Boss wangu aliuwawa Nyumbani kwake he had money na akawauliza niambieni mnataka nini niwape wakamuambia wanataka Roho yake,RIP Faustin Kobelo.Huo sio ujambazi?Roho mbaya?Chuki?Nina case nyingi.Kuna Mwenye nyumba wangu alimua mama yake mzazi kama hamjui,RIP Mama Ndajiri kijana alikuwa ana Hiace zake zimeandikwa Huwezi Jua zinatoka Stand Kwenda Kwa Iddi.I have so many cases naweza kushinda naandika humu na kukupa mifano mingi!Acha ujuaji wako wa kiarusha wakati Meno yako yote yamejaa tope!
Unatakiwa kuisaidia polisiAcha uongo. Mdogo mtu kasema alimpigia kaka yake jibu likawa mama kasafiri. Alipokuja toka china akamuuliza kaka akasema mama atarudi tu kasafiri. Sasa shida ni nini? Wote tumesikia alivyohojiwa yule binti. Usihukumu kabla ya kupata ukweli. Acha mihemuko.
Kauli kama izi sio za kiungwana kabisa; Kwamba mpaka kufikia kumuua mama ake? Kwamba Mtu mwingine akimuua it ok?? Hatakiwi kuuwa Kabisa mtu mwenye uhai kabisa.Inasikitisha sana kuona mtoto anakuwa na ukatili wa namna hii mpaka kufikia kumuua mama yake
Kauli kama izi sio za kiungwana kabisa; Kwamba mpaka kufikia kumuua mama ake? Kwamba Mtu mwingine akimuua it ok?? Hatakiwi kuuwa Kabisa mtu mwenye uhai kabisa.
Pole mkuu, statement yako ndivyo nilivyoielewa; niwie radhi nimekupata vyemaSina maana hiyo na wewe unajua hilo
Mauwaji yamekuwepo miaka yote na hakuna anaefurahia bali shetani tu
Mtoto kuuwa mzazi ni nadra kwa hiyo ni jambo la kishtusha, hilo tu
Pole mkuu, statement yako ndivyo nilivyoielewa; niwie radhi nimekupata vyema
Muda mrefu walikua wanagombana maza anataka kijana akatafute maisha yake,mengine police ndio watasemaSababu kasema ni nini?
Acha tu!! Nimepigwa na kitu kizito kichwani mara 3
Pole jamani...Acha tu!! Nimepigwa na kitu kizito kichwani mara 3
Sijapoa kwakweli
Wazazi walikuwa wanaona fahari kuwa na watoto wa kiume lkn sasa hvi itakuwa kinyumeInasikitisha sana,unamuua mama aliyekujengea nyumba nzuri kama hiyo.
liaa kwanza!yaaniSijapoa kwakweli
Kwakweli inabidi nilie tuliaa kwanza!yaani
Ulikua unajiita Habun.Kwakweli inabidi nilie tu