Arusha: Mfanyabiashara wa Madini auawa kinyama na mwili wake kukutwa kwenye shimo la choo

Kuna watu viazi dada.
Muuaji aliyetoka nje ya nyumba Ana muda wa kutafuta shimo la choo kumtumbukiza maiti?
Haiwezekani asilani,
Dstv kuna chanels zina vile vipindi vya investigations naona kama kuna umuhimu Watanzania wakawa wanaviangalia mara wapatapo muda kuliko kuhangaika na tamthilia kila siku, wangejifunza mambo mengi na ya msingi
 
Kijana kabugi sana,tamaa zimemponza hadi kumtoa uhai mama yake.
 
Chemba ya 60cm by 60cm na kina cha 20 had 30cm mwili wa mtu mzima unaingiaje? Au ni shimo la choo? Pia kuhusu mahojiano ya huyo kijana, nahisi ataning’inizwa huku akipigwa kwenye makende na rungu, namwonea huruma
Mkuu shimo lote la kupokelea vinyesi na maji taka toka chooni na bafuni huitwa chemba.

Achana na ile chemba ndogo inayojengwa kwenye ukuta na kona za bomba la kusafirisha taka!
 
Acha uongo. Mdogo mtu kasema alimpigia kaka yake jibu likawa mama kasafiri. Alipokuja toka china akamuuliza kaka akasema mama atarudi tu kasafiri. Sasa shida ni nini? Wote tumesikia alivyohojiwa yule binti. Usihukumu kabla ya kupata ukweli. Acha mihemuko.
We umesikia huyo Binti akihojiwa mm nimeambiwa na mwanafamilia
 
Back
Top Bottom