Arusha: Mfanyabiashara wa Madini auawa kinyama na mwili wake kukutwa kwenye shimo la choo

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Jeshi la polisi Jijini Arusha linamshikilia kijana mmoja Patrick Mmasi (24) mkazi wa Njiro, Kontena, jijini hapa, kwa Tuhuma za kumuua mama yake mzazi ,Ruth Mmasi (40)ambaye ni mfanyabiashara maarufu wa madini na kisha mwili wake kuutumbukiza kwenye chemba la choo katika nyumba yake.

Taarifa kutoka kwa ndugu wa marehemu ambaye hakutaka jina lake kutajwa gazetini, kwa madai kwamba sio msemaji wa familia na kuthibitishwa na jeshi la polisi, sinasema tukio hilo liligundulika tarehe 24.12.2021 baada ya Polisi kufika nyumbani kwa marehemu kufanya upekuzi na kubaini mwili ukiwa ndani ya chemba ya choo.

Kwa mujibu wa ndugu huyo ,mtoto wa marehemu aitwaye Patricia Mmasi (19) anayesoma Nchini China, alipata mashaka akiwa china wakati alipojaribu kumpigia simu mama yake Ruth na simu yake kutopatikana kwa muda wote.

Alisema aliamua kusafiri kuja Tanzania kwa sherehe za Xmass na kumuuliza kakaye Patrick kuhusu kutoonekana kwa mamayake na kutopatikana kwenye simu, ambapo kijana huyo alikuwa akimjibu kuwa kwani mama yako akiondoka huwa ananiaga? ndipo yeye na ndugu wengine wakaamua kutoa taarifa Polisi.

Aliongeza kuwa Polisi walipofika walifanya upekuzi katika sehemu mbalimbali za nyumba hiyo ya kisasa yenye gorofa moja na ndipo wakabaini mwili huo ukiwa ndani ya chemba la choo nyuma ya nyumba hiyo na mwili huo umegundulika baada ya siku 14 ukiwa ndani ya chembe hiyo.

Ndugu huyo alidai kuwa marehemu alikuwa akiishi na kijana wake huyo ambaye ndiye Mtoto wake wa kwanza na mara nyingi walikuwa wakitofautiana .

Baadhi ya mashuhuda wa tukio Hilo wamedai kuwa mwili huo ulikuwa umeanza kuharibika na umehifadhiwa katika hospital ya Mkoa Mount Meru Kwa uchunguzi zaidi.

Kamanda waJeshi la Polisi, Mkoani Arusha Justine Masejo alithibiiiIisha polisi kumshikilia kijana huyo Patrick Mmasi kwa tuhuma za kifo cha utata cha Marehemu Ruth Mmasi ambaye katika.uhai wake alikuwa mfanyabiashara wa madini.

Masejo alisema wanamshikilia kijana huyo kwaajili ya uchunguzi zaidi kuhusiana na tukio hilo na upelelezi utakapokamilika atafikishwa mahakani.

Kwa Mujibu wa ndugu marehemu Ruth atazikwa nyumbani kwao kesho alasiri katika eneo la Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara.

Ends...

IMG_20211226_124725_799.jpg
IMG_20211226_123310_138.jpg

View attachment 2058503
 
Jeshi la polisi Jijini Arusha linamshikilia kijana mmoja Patrick Mmasi (24) mkazi wa Njiro, Kontena, jijini hapa, kwa Tuhuma za kumuua mama yake mzazi ,Ruth Mmasi (40)ambaye ni mfanyabiashara maarufu wa madini na kisha mwili wake kuutumbukiza kwenye chemba la choo katika nyumba yake.

Taarifa kutoka kwa ndugu wa marehemu ambaye hakutaka jina lake kutajwa gazetini, kwa madai kwamba sio msemaji wa familia na kuthibitishwa na jeshi la polisi, sinasema tukio hilo liligundulika tarehe 24.12.2021 baada ya Polisi kufika nyumbani kwa marehemu kufanya upekuzi na kubaini mwili ukiwa ndani ya chemba ya choo.

Kwa mujibu wa ndugu huyo ,mtoto wa marehemu aitwaye Patricia Mmasi (19) anayesoma Nchini China, alipata mashaka akiwa china wakati alipojaribu kumpigia simu mama yake Ruth na simu yake kutopatikana kwa muda wote.

Alisema aliamua kusafiri kuja Tanzania kwa sherehe za Xmass na kumuuliza kakaye Patrick kuhusu kutoonekana kwa mamayake na kutopatikana kwenye simu, ambapo kijana huyo alikuwa akimjibu kuwa kwani mama yako akiondoka huwa ananiaga??? ndipo yeye na ndugu wengine wakaamua kutoa taarifa Polisi.

View attachment 2058324View attachment 2058325
Inasikitisha sana,unamuua mama aliyekujengea nyumba nzuri kama hiyo.
 
Inasikitisha sana kuona mtoto anakuwa na ukatili wa namna hii mpaka kufikia kumuua mama yake

Ila historia inasema ya kuwa walikuwa wanatofautiana mara kwa mara daa ila ndio hivyo tena hatuwezi kusema tena eti kama angemfukuza yasingekuwa haya

Poleni sana wafiwa ndugu na jamaa
Haya maisha haya
 
Jeshi la polisi Jijini Arusha linamshikilia kijana mmoja Patrick Mmasi (24) mkazi wa Njiro, Kontena, jijini hapa, kwa Tuhuma za kumuua mama yake mzazi ,Ruth Mmasi (40)ambaye ni mfanyabiashara maarufu wa madini na kisha mwili wake kuutumbukiza kwenye chemba la choo katika nyumba yake.

Taarifa kutoka kwa ndugu wa marehemu ambaye hakutaka jina lake kutajwa gazetini, kwa madai kwamba sio msemaji wa familia na kuthibitishwa na jeshi la polisi, sinasema tukio hilo liligundulika tarehe 24.12.2021 baada ya Polisi kufika nyumbani kwa marehemu kufanya upekuzi na kubaini mwili ukiwa ndani ya chemba ya choo.

Kwa mujibu wa ndugu huyo ,mtoto wa marehemu aitwaye Patricia Mmasi (19) anayesoma Nchini China, alipata mashaka akiwa china wakati alipojaribu kumpigia simu mama yake Ruth na simu yake kutopatikana kwa muda wote.

Alisema aliamua kusafiri kuja Tanzania kwa sherehe za Xmass na kumuuliza kakaye Patrick kuhusu kutoonekana kwa mamayake na kutopatikana kwenye simu, ambapo kijana huyo alikuwa akimjibu kuwa kwani mama yako akiondoka huwa ananiaga??? ndipo yeye na ndugu wengine wakaamua kutoa taarifa Polisi.

Aliongeza kuwa Polisi walipofika walifanya upekuzi katika sehemu mbalimbali za nyumba hiyo ya kisasa yenye gorofa moja na ndipo wakabaini mwili huo ukiwa ndani ya chemba la choo nyuma ya nyumba hiyo na mwili huo umegundulika baada ya siku 14 ukiwa ndani ya chembe hiyo.

Ndugu huyo alidai kuwa marehemu alikuwa akiishi na kijana wake huyo ambaye ndiye Mtoto wake wa kwanza na mara nyingi walikuwa wakitofautiana .

Baadhi ya mashuhuda wa tukio Hilo wamedai kuwa mwili huo ulikuwa umeanza kuharibika na umehifadhiwa katika hospital ya Mkoa Mount Meru Kwa uchunguzi zaidi.

Kamanda waJeshi la Polisi, Mkoani Arusha Justine Masejo alithibiiiIisha polisi kumshikilia kijana huyo Patrick Mmasi kwa tuhuma za kifo cha utata cha Marehemu Ruth Mmasi ambaye katika.uhai wake alikuwa mfanyabiashara wa madini.

Masejo alisema wanamshikilia kijana huyo kwaajili ya uchunguzi zaidi kuhusiana na tukio hilo na upelelezi utakapokamilika atafikishwa mahakani.

Kwa Mujibu wa ndugu marehemu Ruth atazikwa nyumbani kwao kesho alasiri katika eneo la Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara.

Ends...

View attachment 2058324View attachment 2058325
Aisee!
 
Back
Top Bottom