Arusha: Mfanyabiashara wa Madini auawa kinyama na mwili wake kukutwa kwenye shimo la choo

Wewe unabisha nini? Wakati dogo tayari kashianyoosha maelezo polisi..kataja hadi alioshirikiana nao.
Kumbuka kukiri kosa ukiwa mikononi mwa polisi au wakati wakutoa maelezo haikufanyi kukutwa na kosa. Nadhani hujui maswala ya kisheria. Ungekuwa unajua wala uwezi kukaa unaleta story zako.
 
Kuna habar zinasema kijana tayar ametaja wenzake 10 alioshirikiana nao,na habar zinadai walimkatakata ndio wakafanikiwa kumdumbukiza kwenye hio Chemba
Duuu, kumbe? Hadi kutaja wenzake 10 means watakuwa walimhoji kwa ile njia ya kumning’iniza huku wakioiga gololi zake kwa rungu, kama kwenye ile sample video tulisambaziwa, lazima ataje tu
 
Lazima kilikiwa na changamoto ktk makuzzi yake...wazazi tuangalie jinsi ya kuwa Lea watoto wetu...kama una Mali wafundishe na wajue kiea hizo Mali sio zao...wewe kazi yako ninkiwawekea mazingira mazuri Kwa maisha Yao ya baadaye!
Na wajibu wao ni kuitumia fursa hiyo adhimu!
 
Mitoto ya matajiri huwa haijishughulishi kazi kuvizia wazazi wadanje tu wabebe mali haya sasa
 
Familia bila baba ni shida.

Sasa msaidizi wa baba atawezaje kuendesha family?

Hongera kwa awamu ya 6
 
Watu tunapenda kuhukumu kwa haraka, kisa ati mama kakutwa kwenye shimo la maji taka nyumbani baada ya kuuwawa. Madai kuwa mtoto alisema mama kasafiri wakati mwili umekutwa hapo nyumbani. Tunaenda mbali na kusema walikuwa na ugomvi wa mara kwa mara.

Hivi nani hajawahi kuwa na ugomvi na mzazi? Kuna muda katika familia watu utofautiana, lakini kutofautiana si kuua. Kwanini mimi sitaki kuamini kwamba huyu mtoto kamuua mama yake.

Nimekuwa nikifatilia sana maswala ya "Murder and Criminal Investigation" nimeangalia sana Documentary za matukio halisi ya mauaji. Hivyo uamua kuachia uchunguzi bayana ufanyike ili ukweli husika uwekwe hadharani.

Shida Tanzania hatuna waandishi wa habari ambao ufanya uandishi wa kiuchunguzi na kufuatilia jambo hadi mwisho. Hivyo mara nyingi story uishia hewani tu.

Nachokiona hapa. Mama anamuaga mwanae kuwa nasafiri kwenda Shinyanga-Geita kwa Biashara. Anamuachia kijana wake mpunga wa matumizi. Kijana anafurahi, na kumwambia mama nakutakia safari njema. Kijana anaona asipoteze muda ngoja aingie zake town, aenjoy na washikaji, huku totoz pembeni, kama ilivyokawaida ya watoto wa mama.

Kama kawaida kila mtu anafunguo hivyo kijana anajua akirudi home anafungua na kuingia ndani kwani mama atakuwa tayari kesha ondoka zake. Wakati mama anajiandaa kuondoka kesha funga nyumba akiwa uwani katika gari, anapokea simu ya mtu.
Katika maongezi mama anaambiwa asubiri asiondoke kwani huyu mtu alompigia simu yupo jiani anakuja nyumbani kwa mama.

Ghafla, wanaingia watu watatu, wakijifanya ni wanunuzi wa madini, japo katika hao watu mama anafahamiana na mmoja. Mama anawauliza kama wanaweza ongelea hapo nje kwani tayari alishafunga nyumba, wao wanasema hakuna shaka hata hapo uwani ni sawa tu.

Kama ilivyokawaida hii nyumba inaukuta mrefu hivyo si rahisi kujua kinachoendelea kama watu wako uwani wanaongea, au jambo linafanyika. Mama hakuwa na wasiwasi kutokana kuwa alifahamiana na mmoja wao na ilikuwa ni swala la biashara.

Wanaongea kwa muda mfupi, na mama anawambia anahitaji kuondoka. Hivyo anaweza kuwapa lift na kuwashusha sehemu fulani. Wanaingia ktk gari hapo hapo nyumbani.
Mmoja wa hawa watu anae fahamiana na mama, anakaa mbele, na hawa jamaa wawili wanakaa nyuma. Bila kutarajia, mmoja wa hawa watu anatoa aina ya waya ambayo anamkaba nayo mama katika koromeo na kuondoa maisha yake.

Wanashirikiana kuubeba mwili wa mama, make mama alikuwa mnene. Na kuutumbukiza katika shimo la kuhifadhia maji taka. Wanafunika kisha wanaondoka hapo nyumbani pasipo kuchukua kitu.

Kijana anarudi nyumbani usiku wa manane baada ya kuwa kaenjoy maisha huko na washikaji. Anafungua anaingia ndani na kulala. Siku inayofuata yeye anajua mama kasafiri, hivyo akiulizwa anawaeleza ndugu na jamaa kuwa mama kasafiri kwenye shughuli zake. Kwani waliagana hivyo. Ndo maana hana wasiwasi wowote kwani anauhakika mama yake kasafiri.

Baada ya siku kupita na taarifa kutolewa polisi, kutoonekana kwa mama, cha ajabu ghafla polisi na ndugu wanaingia nyumbani ati hapo hapo kutambua mwili wa mama huko katika shimo la maji taka.

Je, nani alitambua kuwa mama yuko shimoni? Wakati shimo linamfuniko. Nini kilichofanya mara moja polisi kutambua mama katupwa humo?
Je, wauaji walipenyeza siri ili kufanya mtoto awajibike, na wao kupoteza ushahidi kuwa wamehusika?

Hivi mtoto mayai huyu kijana anaweza kweli kuuwa mama yake mzazi na kumtupa katika shimo la maji taka nae kuendelea kuwepo pale nyumbani bila wasiwasi wowote? Damu ni nzito! Huyu kijana angekuwa kisaikolojia hayuko sawa!

Wauaji wapo, wanasheherekea.... Mtoto yupo ndani akiugulia kwa maumivu ya moyoni. Msimamo wake bado ni kuwa mama alisafiri.
Tusubiri Upelelezi ukamilike!
Ndo kasema sasa kuwa kaua
 
We unahangaika kuandika gazeti kumtetea wakati mtuhumiwa ameshaweka maelezo sawa😀😀😀
 
Back
Top Bottom