Arusha: Mfanyabiashara wa Madini auawa kinyama na mwili wake kukutwa kwenye shimo la choo

Niambie hapo ujuaji wangu ni upi?Mimi nimeishi Arusha miaka mingi kidogo.2000-2018 huo ni umri wako hapa duniani.Kwa nini nisiijue Arusha?Nimevunjiwa Nyumba mara kadhaa,huo sio wizi?Kuna Boss wangu aliuwawa Nyumbani kwake he had money na akawauliza niambieni mnataka nini niwape wakamuambia wanataka Roho yake,RIP Faustin Kobelo.Huo sio ujambazi?Roho mbaya?Chuki?Nina case nyingi.Kuna Mwenye nyumba wangu alimua mama yake mzazi kama hamjui,RIP Mama Ndajiri kijana alikuwa ana Hiace zake zimeandikwa Huwezi Jua zinatoka Stand Kwenda Kwa Iddi.I have so many cases naweza kushinda naandika humu na kukupa mifano mingi!Acha ujuaji wako wa kiarusha wakati Meno yako yote yamejaa tope!
Acha ujuaji wako wa kiarusha wakati Meno yako yote yamejaa tope!
 
Acha uongo. Mdogo mtu kasema alimpigia kaka yake jibu likawa mama kasafiri. Alipokuja toka china akamuuliza kaka akasema mama atarudi tu kasafiri. Sasa shida ni nini? Wote tumesikia alivyohojiwa yule binti. Usihukumu kabla ya kupata ukweli. Acha mihemuko.
Unatakiwa kuisaidia polisi
 
Kauli kama izi sio za kiungwana kabisa; Kwamba mpaka kufikia kumuua mama ake? Kwamba Mtu mwingine akimuua it ok?? Hatakiwi kuuwa Kabisa mtu mwenye uhai kabisa.

Sina maana hiyo na wewe unajua hilo
Mauwaji yamekuwepo miaka yote na hakuna anaefurahia bali shetani tu

Mtoto kuuwa mzazi ni nadra kwa hiyo ni jambo la kishtusha, hilo tu
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom