Arusha leo hii

Arusha leo hii

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Posts
4,879
Reaction score
1,134
IMG00070.jpgIMG00069.jpghapa ni mountmeru hotel.
 
Kha ha ha haaaaaa! Mkubwa hiyo inaitwa N3 FIAT 682 ingetakiwa uweke na lile linakuwa na kebini ya kijani pale mbele ya bambari limeandikwa Mzungu Pori

Kwa kweli haya magari yana nguvu sana. Ni magari ya Kitaliano
F= fabbrica
I=italiana
A=automobili
T=torino

Hayana mwendo wa kasi lakini safari itafika tu!
 
Mbona kweupe hivyo leo hakuna hata foleni maana hiyo kipande kuanzia sanawari mpaka Philips na sanawari mpaka mianzini ni balaa kwa foleni
 
mkuu muongo hiyo sio mountmeru hotel umetudaganyaa
 
Mkuu ni darajani pale wakati unapandisha kuikuta Mount Meru Hotel maana hicho kilima kushoto hapo ni kile chenye Diamond Trust bank
 
unataka kuniambia mto temii.....kwambali naweza kufikiri ila kuna vitu vinanifanya nisishawishike cse that is ma main place na ndo maskani yangu kubwa hapo le barbeie bar hahaha
 
haaaa nimeimis arusha. oppsite na mount meru hotel kulikuwa na jamaa mmoja anapika mdudu safi sana..anaitwa kichwa . sijui bado yupo.
 
unataka kuniambia mto temii.....kwambali naweza kufikiri ila kuna vitu vinanifanya nisishawishike cse that is ma main place na ndo maskani yangu kubwa hapo le barbeie bar hahaha

Ni kweli mkuu B'REAL ni mitaa hiyo bana ukikuza hiyo picha inaonekana kabisa ni daraja la Themi na ni kuelekea Mount Meru
 
Last edited by a moderator:
mkuu muongo hiyo sio mountmeru hotel umetudaganyaa
b'real sijakudanganya mkuu nilipita hapo mitaa ya mchana kulikuwa kweupe kweli nilipoziona hizo 682 nikazipiga na kamchina kangu.
 
unataka kuniambia mto temii.....kwambali naweza kufikiri ila kuna vitu vinanifanya nisishawishike cse that is ma main place na ndo maskani yangu kubwa hapo le barbeie bar hahaha

mkuu b'real hapo le barbeie ndo unapigia vyombo?nitatembelea hapo baada ya nusu saa.
 
Kha ha ha haaaaaa! Mkubwa hiyo inaitwa FIAT 682 ingetakiwa uweke na lile linakuwa na kebini ya kijani pale mbele ya bambari limeandikwa Mzungu Pori

Kwa kweli haya magari yana nguvu sana. Ni magari ya Kitaliano
F= fabbrica
I=italiana
A=automobili
T=torino

Hayana mwendo wa kasi lakini safari itafika tu!

....ha ha ha ha Mkuu hapo kwenye red nimecheka sana jana nimekutananalo kule barabara ya Ngurudoto!!!!
 
....Mkuu Ringo Edmund vipi hapo panauhamasishaji? .....bia za picnic hazi pandi
picnic sio kivile mjomba mamba wa zamani......njo sky lounge hapa philips super market siku kama leo na jmosi balaaa ngoja tumalize kazi tukajipongeze
 
B'REAL nakuja hapo aise nikifika nitajitambulisha bana kwa wadau wakuuu
 
Last edited by a moderator:
picnic sio kivile mjomba mamba wa zamani......njo sky lounge hapa philips super market siku kama leo na jmosi balaaa ngoja tumalize kazi tukajipongeze

.....ha ha ha ha Mkuu nakuja msalimie meneja!!!!
 
Kwa lugha ya kazi yanaitwa MBAULA
Kha ha ha haaaaaa! Mkubwa hiyo inaitwa FIAT 682 ingetakiwa uweke na lile linakuwa na kebini ya kijani pale mbele ya bambari limeandikwa Mzungu Pori

Kwa kweli haya magari yana nguvu sana. Ni magari ya Kitaliano
F= fabbrica
I=italiana
A=automobili
T=torino

Hayana mwendo wa kasi lakini safari itafika tu!
 
....ha ha ha ha Mkuu hapo kwenye red nimecheka sana jana nimekutananalo kule barabara ya Ngurudoto!!!!

Mkuu nakwambia muda huu nimeikuta imepaki pale mtaa wa Matejoo ile boma inaitwa Boma ya Maumbwa. Ukiona limepaki utafikiri skrepa.
 
Back
Top Bottom