na sewage system sio kwamba haikuwepo ila inayowekwa sasa hivi ndio the best in Tanzania mradi wa 520bl ambapo kila mtaa around the city utakua umeonganishwa.Blah blah blah.
Hizo ni future expectations ambazo sio guranteed Tunaongelea present events.
Hata Dar miaka mitano ijayo itakuwa unstoppable.
Miaka 60 ya uhuru stand ya kilombero ni worst nightmare, stand ya mabasi ya mikoa ni uchafu wa aina yake.
Arusha city centre ipo crumbled to the centre, sewage system ndo inawekwa sahivi. Roads are old fashioned kasoro ile ya east africa.
watu wa iliyokua kanda pendwa mtaendelea kujisaidia ziwani tu hamna namna🤣🤣