Arusha: Kituo cha daladala Kilombero hakikidhi viwango

stendi kuwa katikati ndio inayoifanya Arusha iwe imechangamka zaida ya mwanza na iringa ndugu miji yote mikubwa stendi ipo katikati ya mji mfano nairobi na kampala
Sio kweli.

Kunatakiwa kuwe na mipango ya kati na ya muda mrefu.

Mahitaji yanabadilika. Huwezi kuwa na mahitaji ya miaka 50 iliopita leo.

Ila stand ishapitwa na wakati, kunatakiwa kujengwe stand kubwa kuliko hii.
 
kuwa na miundombinu ya umma sio kigezo cha kuwa jiji mapato ndio kigezo namba moja ila siasa za upinzani zimefanya arusha kutokupewa kipaumbele licha ya hivyo bado Arusha ndio jiji la pili kwa mtandao mkubwa wa barabara za lami boss
Mufindi huko wana mapato kuliko hata hiyo Arusha na sio jiji. Hapo hujaenda halmashauri zenye migodi.

Mapato sio kigezo.
 
Moshi imeipita Arusha kwa kitu gani maana kwanza mji wa Moshi jioni unakuwa hauna watu.
Lakini ukiachia hilo kuna kitu gani ambacho we unadhani Moshi imeizidi Arusha.
Arusha nako saa 2 usiku hakuna watu.

Saa 3 unakosa usafiri toka mjini kwenda tengeru.

Sasa jiji gani saa 3 usiku watu wote wamelala?
 
Mbona Dar es Salaam, Mbeya na Mwanza kumekuwepo na siasa za upinzani ila miondombinu yao ina afadhali?

Mbona sehemu kubwa ya Tanzania haijawahi kuchagua upinzani ila kuna umaskini uliotopea?
naomba kufahamu wewe unatokea wapi ndugu🤣🤣
kumbuka mkataa kwao mtumwa
 
Arusha ina hype sana mitandaoni wakati ni pa kawaida sana

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Arusha is very big bro inategemea na ulifikia wapi kumbuka Arusha kuna njia 6 za kuingia mjini sio kama dodoma kwamba kama unatokea dar basi unaona kila kitu mjini kuwa na mapungufu ni kitu ambacho kiafrika miji yote inamapungufu lakini kwa level za kibongo Arusha ni habari nyingine kabisa.
Kuna mdau amelinganisha Arusha na moshi nimeona hata nisimjibu🤣🤣

IMG_20211121_170219.jpg

IMG_20211121_170157.jpg

IMG_20211121_170059.jpg
 
Sio kweli.

Kunatakiwa kuwe na mipango ya kati na ya muda mrefu.

Mahitaji yanabadilika. Huwezi kuwa na mahitaji ya miaka 50 iliopita leo.

Ila stand ishapitwa na wakati, kunatakiwa kujengwe stand kubwa kuliko hii.
kwahiyo ndugu bavaria hujui kuwa Arusha ina masterplan tena the most modern in East Africa nenda Youtube ufungue Arusha city master plan 2035 ni hatari na nusu.
Na good news ni kuwa serikali ya awamu ya 6 imeipa utalii priority sana
Na hata sasa samia yuko Arusha na kesho anazindua hoteli ya nyota tano
Bila kusahau EAC sasa hivi iko very strong wanazidi kuimarisha Arusha kama hub yao
kwahio plans za kujenga stendi zipo na eneo lipo
ila tunachoongelea ni kuwa awamu iliyopita haikuipa kipaumbele sana arusha ila kwa sasa Arusha imerudi kwenye chati na hata mikutano mingi imerudi Arusha
nimecheka umesema mbeya imeizidi arusha miundombinu 🤣🤣
bro kwa data za tamisemi Arusha ndio halmashauri ya jiji ya pili kwa km nyingi za lami ikiwa na 196kms nitafutie jiji lolote nje ya dar yenye network hio
Arusha shida yetu sisi ni stendi tu ila miji mingine yote tumeiacha usawa wa mbingu na ardhi
 
Ungedanganya watu ambao hawaijui Arusha kwamba saa 2 hamna watu mjini.
Ila swali langu lilikuwa ni Moshi imeizidi nn Arusha?
Naishi arusha mjini kabisa pale mjini kati.

Muda mwingi sana saa 2 usiku kunakuwa hakuna watu.

Biashara saa 12 zimeshafungwa, wanabaki wale wakina mama wanaomalizia kuuza mboga.
 
Naishi arusha mjini kabisa pale mjini kati.

Muda mwingi sana saa 2 usiku kunakuwa hakuna watu.

Biashara saa 12 zimeshafungwa, wanabaki wale wakina mama wanaomalizia kuuza mboga.
mjini kati huo mtaa unaitwaje unaoishi ndugu wa kahama🤣🤣
 
kwahiyo ndugu bavaria hujui kuwa Arusha ina masterplan tena the most modern in East Africa nenda Youtube ufungue Arusha city master plan 2035 ni hatari na nusu.
Na good news ni kuwa serikali ya awamu ya 6 imeipa utalii priority sana
Na hata sasa samia yuko Arusha na kesho anazindua hoteli ya nyota tano
Bila kusahau EAC sasa hivi iko very strong wanazidi kuimarisha Arusha kama hub yao
kwahio plans za kujenga stendi zipo na eneo lipo
ila tunachoongelea ni kuwa awamu iliyopita haikuipa kipaumbele sana arusha ila kwa sasa Arusha imerudi kwenye chati na hata mikutano mingi imerudi Arusha
nimecheka umesema mbeya imeizidi arusha miundombinu
bro kwa data za tamisemi Arusha ndio halmashauri ya jiji ya pili kwa km nyingi za lami ikiwa na 196kms nitafutie jiji lolote nje ya dar yenye network hio
Arusha shida yetu sisi ni stendi tu ila miji mingine yote tumeiacha usawa wa mbingu na ardhi
Blah blah blah.

Hizo ni future expectations ambazo sio guranteed Tunaongelea present events.

Hata Dar miaka mitano ijayo itakuwa unstoppable.

Miaka 60 ya uhuru stand ya kilombero ni worst nightmare, stand ya mabasi ya mikoa ni uchafu wa aina yake.

Arusha city centre ipo crumbled to the centre, sewage system ndo inawekwa sahivi. Roads are old fashioned kasoro ile ya east africa.
 
jibu swali wewe ni msukuma wa bariadi au misungwi tuanzie hapo kwanza🤣🤣
 
Back
Top Bottom