AKILI YA KUAMBIWA
Member
- Apr 26, 2013
- 22
- 0
kwahiyo hawa mawaziri kinachowapeleka hosp[itali si kuwaona wagonjwa bali ni kupeleleza kuwa ni nani aliona ili wammalize. na ni kwanini mnawaruhusu kuwaona hao majeruhi?
Kijana mmoja wa chadema ambae amejeruiwa vibaya na mlipuko wa bomu polisi na usalama wa taifa wamzingira na kutaka kumchukua wakidai wa kuwa ndio muhusika wa kurusha bomu,cha kushangaza na kusikitisha sana yeye huyo kijana amezurika vibaya na bomu kwanye mguu swali nililowauliza polisi muda huu hapa seliani je?huyu bwana kama yeye ndo muhusika mbona kaumia,akanijibu sisi taharifa yoyote tunayopata tunaifanyia kazi,ndugu zangu watanzania kwa jinsi nilivyoona nimegundua kuna mchezo unataka kuchezwa wa kubadilisha ukweli kuwa uongo,mambo yaleyale ya ambrosin funika jamvi mwana haramu apite.
mkuu kamanda Kova yumo humu mi naogopa
Kwaani Syria ilianzaje? kwaani kule Libya na Misri walianzaje? Penye cheche ndipo uwakapo moto. Mpoki Alisha imba "mjomba ukicheka na nyani utavuna mabua..." KAGAME is watching, very soon balance of power itaonekana.
Mungi tunaomba mu-upload hizo video tulio mbali tujue kilichotokea , kwani inavyoonekana ni kama kuna mpango wa kuwanyamazisha wote wanaoujua ukweli mkuu.Polisi waue wenyewe
Upelelezi wafanye wenyewe
Ushenzi kabisa huu.
Walichokifanya leo polisi kwa kuwazuia wasizungumzie wala kuaga miili ya marehemu ni kwa ajili ya kuficha ukweli, wakati wao ndiyo walioua watu kwa kurusha bomu na kuwapiga risasi
sasa kuumia ndio ushawishike hajatenda kosa,mbona unaleta intelejensia ya braza lwakatare mshaija bojo
alilirusha juu likarudi na kudondoka alipo ----?sasa kuumia ndio ushawishike hajatenda kosa,mbona unaleta intelejensia ya braza lwakatare mshaija bojo
alilirusha juu likarudi na kudondoka alipo ----?
Mungi tunaomba mu-upload hizo video tulio mbali tujue kilichotokea , kwani inavyoonekana ni kama kuna mpango wa kuwanyamazisha wote wanaoujua ukweli mkuu.
Re: Kijana mmoja wa chadema aliyelazwa hospitali ya seliani ambae ni mmoja kati ya waliyekuwa akimkimbiza mrusha bomu akipigwa risasi. Nashauri apewe ulijzi wa karibu, maana wanaweza kumuua hawa 'mbwa'
mkuu kamanda Kova yumo humu mi naogopa
Mbaya zaidi kuna kijana moja ambaye ni majeruhi wa mabomu ya jumamosi, ambaye amelazwa seliani, anajua kila kitu kilichotokea siku ile, baada ya polisi kujua kuwa anajua walimletea maji yenye sumu, bahati nzuri alishtukia, yalipopimwa na madaktari yakagundulika yamewekewa sumu na ma CID. Hivi tunavyozungumza wanafanya mpango wa kumsafirisha kwenda muhimbili usiku huu. Ni hatari sana