Arusha: Kijana wa CHADEMA aliyelazwa hospitali, ahusishwa na ulipuaji bomu

kwahiyo hawa mawaziri kinachowapeleka hosp[itali si kuwaona wagonjwa bali ni kupeleleza kuwa ni nani aliona ili wammalize. na ni kwanini mnawaruhusu kuwaona hao majeruhi?
 
Kijana mmoja wa chadema ambae amejeruiwa vibaya na mlipuko wa bomu polisi na usalama wa taifa wamzingira na kutaka kumchukua wakidai wa kuwa ndio muhusika wa kurusha bomu,cha kushangaza na kusikitisha sana yeye huyo kijana amezurika vibaya na bomu kwanye mguu swali nililowauliza polisi muda huu hapa seliani je?huyu bwana kama yeye ndo muhusika mbona kaumia,akanijibu sisi taharifa yoyote tunayopata tunaifanyia kazi,ndugu zangu watanzania kwa jinsi nilivyoona nimegundua kuna mchezo unataka kuchezwa wa kubadilisha ukweli kuwa uongo,mambo yaleyale ya ambrosin funika jamvi mwana haramu apite.

kama yeye ndiye aliye karibia kumkamata mtuhumiwa na CDM wanadai wana full picture ya tukio zima,huoni majeruhi atakuwa shahidi mzuri....kwanini wasimtafute wafanye wanachotaka kufanya....Hii ndo akili ya mwafrika.....
 
Polisi waue wenyewe
Upelelezi wafanye wenyewe
Ushenzi kabisa huu.

Walichokifanya leo polisi kwa kuwazuia wasizungumzie wala kuaga miili ya marehemu ni kwa ajili ya kuficha ukweli, wakati wao ndiyo walioua watu kwa kurusha bomu na kuwapiga risasi
 
Kwaani Syria ilianzaje? kwaani kule Libya na Misri walianzaje? Penye cheche ndipo uwakapo moto. Mpoki Alisha imba "mjomba ukicheka na nyani utavuna mabua..." KAGAME is watching, very soon balance of power itaonekana.

natamani Tanzania tungekuwa vinginevyo kupata haki na ukombozi wa ukweli ,ila inapobidi hawa watawala wanatakiwa kulipa kwa wanachokifanya.
 
[MENTION][/MENTION]
Polisi waue wenyewe
Upelelezi wafanye wenyewe
Ushenzi kabisa huu.

Walichokifanya leo polisi kwa kuwazuia wasizungumzie wala kuaga miili ya marehemu ni kwa ajili ya kuficha ukweli, wakati wao ndiyo walioua watu kwa kurusha bomu na kuwapiga risasi
Mungi tunaomba mu-upload hizo video tulio mbali tujue kilichotokea , kwani inavyoonekana ni kama kuna mpango wa kuwanyamazisha wote wanaoujua ukweli mkuu.
 
Last edited by a moderator:
sasa kuumia ndio ushawishike hajatenda kosa,mbona unaleta intelejensia ya braza lwakatare mshaija bojo

Kwa hiyo mhalifu kurusha bomu Na kupiga risasi mbele ya polisi mchana kweupe Na Polisi wasimkamate wala wasimwone Na halafu waende kukamata aliye kitandani kwa kujeruhiwa ndio intelijensia! Aisi, basi umesoma kweli intelijensia!
 
Ningekuwa mimi polisi huu ndiyo ungekuwa wakati wangu wa kujihudhuru na kutafuta kazi nyingine. Ki ukweli polisi sasa hana heshima kabisa kwenye jamii yetu ya leo, hakuna weledi wa aina yeyote sijui hawaoni aibu! Eee Baba Mungu wa Mbinguni hebu fichua kilicho nyuma ya matukio haya na watesi wetu waaibishwe na waangamizwe maradufu Ameni!
 
alilirusha juu likarudi na kudondoka alipo ----?

Let us assume ni kweli alirusha hilo bomu. Swali la kujiuliza ni wapi alikolipata kwa kuwa tayari imethibitika limetengenezwa China? Kama watu kama hao wanaweza kupata mabomu kirahisi hivyo ina maana nchi iko hatarini ile mbaya. Hayo yaliingiaje humu nchini? Polisi wangeanza na hilo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mungi tunaomba mu-upload hizo video tulio mbali tujue kilichotokea , kwani inavyoonekana ni kama kuna mpango wa kuwanyamazisha wote wanaoujua ukweli mkuu.

Mbaya zaidi kuna kijana moja ambaye ni majeruhi wa mabomu ya jumamosi, ambaye amelazwa seliani, anajua kila kitu kilichotokea siku ile, baada ya polisi kujua kuwa anajua walimletea maji yenye sumu, bahati nzuri alishtukia, yalipopimwa na madaktari yakagundulika yamewekewa sumu na ma CID. Hivi tunavyozungumza wanafanya mpango wa kumsafirisha kwenda muhimbili usiku huu. Ni hatari sana
 
Re: Kijana mmoja wa chadema aliyelazwa hospitali ya seliani ambae ni mmoja kati ya waliyekuwa akimkimbiza mrusha bomu akipigwa risasi. Nashauri apewe ulijzi wa karibu, maana wanaweza kumuua hawa 'mbwa'

wewe ndio mnyama uliyemtaja mwisho kabisa wa sentensi yako..tena ww ni yule wa jinsia ya ke halafu aliyezeeka
 
Serikali ya ccm imegeuka ya kikatili...
Serikali dhalimu huanza na mambo kama hayo, ni baaada ya kuanza kukaribia kuondolewa madarakani.. Wala msishangae
 
Hii story inanikumbusha gazeti la Sani la zamani mechi ya Bush Stars na Town stars kuna jamaa alipiga kona halafu akaiwahi na kufunga yeye mwenyewe.

Kikwete ataiweza baridi ya The Hague lakini? Yote haya yanafanywa kwa baraka zake
 
Selian Hospital kijana wa CHADEMA Peter Thadey Mshanga jana aliwekewa sumu na maofisa wa polisi kwenye maji ili afe ila maofisa wa usalama wa CHADEMA waliyawahi na wameyapeleka kuyachunguza MUDA HUU WANATAKA KUMPELEKA DAR hakika wanakwenda kumuua!!
 
Kama raia anaweza kuja na kurusha bomu na kukimbia then kunasiku rais anaweza kurushiwa bomu! Ni utani huo.
 
Mbaya zaidi kuna kijana moja ambaye ni majeruhi wa mabomu ya jumamosi, ambaye amelazwa seliani, anajua kila kitu kilichotokea siku ile, baada ya polisi kujua kuwa anajua walimletea maji yenye sumu, bahati nzuri alishtukia, yalipopimwa na madaktari yakagundulika yamewekewa sumu na ma CID. Hivi tunavyozungumza wanafanya mpango wa kumsafirisha kwenda muhimbili usiku huu. Ni hatari sana

hakuna uwezekano wa kumlinda huyo kijana? kwani mkimuacha mikononi mwa hao magaidi ndiyo atapoteza maisha mkuu. hii ni hatari sana ,mnanikumbusha kisa cha ulimboka walivyofanya attempt nyingi kutaka kumpoteza duniani.
 
pamoja na kujitoa ufahamu ndugu yangu hata wewe bado unaishi na hujui kesho yako mwombe sana mungu akufunulie kesho yako ili unapo yasema haya uwe unajua kesho yako kuna nini kinacho kungoja, utu ni zaid ya ushabiki wa siasa walikuwepo kina idd amin walio amini wao ni zaid ya kila kitu lakini hawakuijua kesho yao, ALAH! AKUJALIE KHERI
 
Back
Top Bottom