Arusha: Mgombea wa CHADEMA Kata ya Kaloleni pamoja na msaidizi wake wamepigwa na kuchomwa visu na green guard aitwaye Idd Mkulu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Arusha: Mgombea wa Chadema Kata ya Kaloleni pamoja na msaidizi wake wamepigwa vibaya na green guard.Diwani ana hali mbaya amezirai na msaidizi wake amepigwa visu hali yake ni mbaya sana Polisi wamedhibitisha

N:B Majina ya Green Guard walifanya kitendo hichi ni Iddy Mkulu/Moja/Ringooo wa Daraja Mbili na Jumanne Mjusi
Taarifa zinazidi kusema kuwa Mpaka sasa hivi wanatembea na Gari aina ya Noah

1.png


bananga.jpg
IMG-20180812-WA0057.jpg
IMG-20180812-WA0058.jpg
 

Attachments

  • VID-20180812-WA0025.mp4
    4.9 MB · Views: 52
Huyo Mtu umemsema hapo juu " Iddy Mkulu" huwa namsikiliza katika nyimbo ya Watengwa- Rap si mchezo utamsikia katika ubeti wa mwisho kabisa. Hawa wasanii ni watu wa Arusha ikijumuisha watu kama Yuzo, JCB, Chindo Man, nk.....

Sasa mpaka hawa jamaa walimuimba kipindi hiko kuna mawili, Moja; pengine alikua mtu hatari sana enzi hizo na mbili; huenda alikua maarufu sana na umaarufu wake ukaisha wakati wanamuimba.

nauweka hapa wimbo huo.
 

Attachments

  • Watengwa - Rap si mchezo.mp3
    3.6 MB · Views: 57
Business Exchange Zone
Kama unahitaji huduma ama bidhaa yoyote, hapa ndio mahali sahihi na salama kwa ajili yako, sisi tunakukutanisha na wateja, wafanya biashara mbalimbali.
ANGALIZO. Malipo ya Huduma au Bidhaa zozote yatakayofanyika nje ya mfumo wetu hatutahusika nayo.
Business Exchange Zone
 
Watanzania wenzangu,dunia INA mifumo mingi ya utawala.Tunajaribu Leo kuwaza tuwe na mfumo wa chama kimoja kama China,Ukomunisti, wale wana historian ndefu ,nidhamu,misingi imara ya mfumo wao.Tujiulize Leo hii tuna Kiongozi muadilifu kama Mao,Mwalimu JK wa kutuongoza katika msingi huo!? Tupo tayari kuwa sheria ngumu na kuzitekeleza za kunyonga watu kwa makosa rushwa nk!?
Democrasia ni mfumo sahihi kwa taifa letu, inasaidia kuwa na checks and balance.Kwani hatuna tena utamaduni, Kiongozi kama mfalme,ambae tunaweza kumpa U mungu MTU.
Niwaombe Watanzania wenzangu,tulaani,kukemea kwa pamoja ujinga juu wa kudumaza na Kuua democrasia.Kila mmoja kwa nafasi yake aseme hapana.Tudai KATIBA bora kwa nchi yetu Tanzania.
Kila mmoja kwa imani yake tufanye maombi Mungu atusamehe tulipokosea atuondolee balaa hili la kukosa hekima,uoga na uzalendo kwa Taifa letu.
Tanzania ni zaidi ya MTU!
 
Back
Top Bottom