Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,807
- 47,412
Arusha ni komesha harafu wapo wengi wazuri sio wa kuokota okota hawa Wananchi ni wazuri aisee potelea mbali...utadhani wamejitengeneza wenyewe hizi shepu huku tunapata pisi za ukweli aisee...