Arusha kiboko ya Mademu wazuri Tanzania

Arusha kiboko ya Mademu wazuri Tanzania

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,585
Reaction score
3,180
Wadau,

Nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi fulani hivi so natural wana figure nzuri, halafu waelewa na wajanja tofauti na wanawake wa Dar wengi wana uzuri wa kujitengeneza na wezi wezi tu.

Wanawake wa mkoa gani we unaona ni wazuri zaidi ya Chuga?
 
Ulipokwenda Arusha nadhani ulipitia Same. Vipi ? Hukuona dada zangu wa kipare wanavyozuusha migongo wakitembea. Ulitupa neno ukaambiwa NO ? Watoto wako Same achana na wasichana wahuni wa Arusha wanaagiza nyama choma bar mpaka utumbo wa kuchoma na bia.
 
Hasa hala vumari[emoji14] [emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipokwenda Arusha nadhani ulipitia Same. Vipi ? Hukuona dada zangu wa kipare wanavyozuusha migongo wakitembea. Ulitupa neno ukaambiwa NO ? Watoto wako Same achana na wasichana wahuni wa Arusha wanaagiza nyama choma bar mpaka utumbo wa kuchoma na bia.
Same wanawake wana miguu miembambaa sijui waliugua ugonjwa gani😀😀
 
Me nawapenda wa dar ni wajanja janja sana adi raha... wanawake wa arusha wana shape za ajabu alafu pia ni watoto geti kali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana Vp Mwanamke Wa Dar Awe Mwizi Halafu Asiwe Mjanja?
 
Same wanawake wana miguu miembambaa sijui waliugua ugonjwa gani😀😀
Sasa wewe shida yako ni sambusa au miguu. Kwani ni miguu ya mbuzi kwamba utakula kongoro. Wewe unatakiwa upendezewe na pale miguu inapokutana yees hapo hapo. Sijawahi kuona mtu anakula miguu ya mwanamke. Kwani hawajui kutembea. Acha fitna za kisukuma.
 
Ni ma hardcore safi kabisa, mwanaume wa dar hufui dafu chuga
 
Back
Top Bottom