Arusha kiboko ya Mademu wazuri Tanzania

Arusha kiboko ya Mademu wazuri Tanzania

Ulipokwenda Arusha nadhani ulipitia Same. Vipi ? Hukuona dada zangu wa kipare wanavyozuusha migongo wakitembea. Ulitupa neno ukaambiwa NO ? Watoto wako Same achana na wasichana wahuni wa Arusha wanaagiza nyama choma bar mpaka utumbo wa kuchoma na bia.
vifupi vifupi flan eee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau,nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi flani hivi so natural wana figure nzuri,halafu waelewa na wajanja tofauti na wanawake wa Dar wengi wana uzuri wa kujitengeneza na wezi wezi tu,wanawake wa mkoa gani we unaona ni waZuri zaidi ya Chuga?
Picha basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ujinga nyie, hivi mnajua watoto wa kimasai walivyo bomba.

sent using samsung galaxy s8
 
Ulipokwenda Arusha nadhani ulipitia Same. Vipi ? Hukuona dada zangu wa kipare wanavyozuusha migongo wakitembea. Ulitupa neno ukaambiwa NO ? Watoto wako Same achana na wasichana wahuni wa Arusha wanaagiza nyama choma bar mpaka utumbo wa kuchoma na bia.
Upareni hasa Hedaru
 
Nilichogundua kwamba kila sehemu kuna wanawake wazuri hata ukienda Sitimbi ,Nkasi ,Namtumbo au Kazulamimba utakutana na wanawake wazuri!!
 
Arusha nimekaa miaka minne na kweli watoto wapo bomba ukiamzia wenyeji wa hapo wa meru na wengi waliotokea makabila ya singida na manyara nazungumzia wanyaturu, warangi (wambulu), wanyiramba, Wairaqw , n.k

Kwa hio kwa kuhitimisha ni kwmaba hizo pisi unazoziana hapo ambazo ni kali zimejazana sana huko singida na manyara.

Ni mabinti poa sana ila inabidi uwagande haswa maana wengi wa makabila nliyoyataja hawajui kukataa, Ndiko walikotoka kina shilole
 
Back
Top Bottom