Arusha kama ulaya

Arusha kama ulaya

updater

Senior Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
125
Reaction score
37
Hali ya hewa Arusha kuna baridi safiiii..... kwa wageni watokao Mikoa mingine kuja Arusha plz make sure msisahau masweta.
 
Hiyo hali ya hewa ni hii kitu :majani7😀aaaaah!!!!!!!!!!
 
ongea taratibu, unajua joto la -20c, ulishawahi kusikia jua linazama saa 9:30 jioni, embu acha utani arusha na ulaya wapi na wapi?, maji shida, umeme, huduma za afya shida?, ulaya ya wapi?, hata ulaya ya mashariki kama moldova arusha haikuti. embu acha kuidhalilisha arusha, ifananishe na miji mingine ya tanzania lakini si ulaya.
Ulaya kuna vifodi, ulaya watu wanaota moto badala ya heater. Ulaya mkuu wa mkoa anambakiza watu kesi?, ulaya ndege ya mtu inagonga mti, kisa hakuna taa uwanja wa ndege?. Ulaya watu wanafukiwa na vifusi wakichimba moramu.
 
Utakuwa umedandia treni kwa mbele wewe!

Mimi nilivyomwelewa huyu jamaa ni kuwa Arusha ni kama Ulaya kwa baridi sasa hivi! Lakini wewe umekimbilia vitu. Shame on you guy!!!
 
ameongea fact though
 
Nimetupia rubega na boshori natazama sunset mt.Meru.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Aisee wewe naona bado hujazunguka hii nchi...
Hakuna sehemu yenye baridi kali hapa Tanzania kama mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
Mathalani:
Iringa (Mafinga, Makambako)
Njombe (Makete)
Mbeya (Uporoto, Tukuyu)

Sosi ni mimi mwenyeww kwa kuwa maeneo hayo yote nimeishi including Arusha.

Hali ya hewa Arusha kuna baridi safiiii..... kwa wageni watokao Mikoa mingine kuja Arusha plz make sure msisahau masweta.
 
Tafuta Mkoa Uliojulikana Sana Na Wazungu Kwa Jina La RANGEBURGY,huo Ndo Unaongoza Kwa Baridi Kwa Sasa
 
Aisee wewe naona bado hujazunguka hii nchi...
Hakuna sehemu yenye baridi kali hapa Tanzania kama mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
Mathalani:
Iringa (Mafinga, Makambako)
Njombe (Makete)
Mbeya (Uporoto, Tukuyu)

Sosi ni mimi mwenyeww kwa kuwa maeneo hayo yote nimeishi including Arusha.

Umeniwahi nilitaka kumuuliza kama keshafika Makambako huyu...
 
we paka mtakatifu upo???nakuona uchikiuchiku humu ndani

Mh we acha tu,ila nipo sana, na ushamba wangu wa kisukuma wacha nikamatwe kisawasawa hata jinsi ya kutoka sijui nitatokaje kwenye hiyo mikono iliyonikamata..
 
ha ha ha kama nakuona vile na lisauti lako liguuuuuuuuuuuuuuuumu la kukaza
 
We acha nihurumie tu, we si ulishangashangaa kuna kitu nimekutumia kwa kutaja jina lako ukipata muda tembelea huko..
 
Hali ya hewa Arusha kuna baridi safiiii..... kwa wageni watokao Mikoa mingine kuja Arusha plz make sure msisahau masweta.

Ujumbe huu umfikie Madame B popote alipo katika Jamhuri ya Watu wa Dar.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom