googlingTafuta Mkoa Uliojulikana Sana Na Wazungu Kwa Jina La RANGEBURGY,huo Ndo Unaongoza Kwa Baridi Kwa Sasa
Ulishawahi kufika makete?
sasa dada nini kingine kinaweza kuzuia baridi? Zingatia uko na dada n kaka zako mnatia stori
Aisee wewe naona bado hujazunguka hii nchi...
Hakuna sehemu yenye baridi kali hapa Tanzania kama mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
Mathalani:
Iringa (Mafinga, Makambako)
Njombe (Makete)
Mbeya (Uporoto, Tukuyu)
Sosi ni mimi mwenyeww kwa kuwa maeneo hayo yote nimeishi including Arusha.
Huko mbona hakuna baridi kabisa mpendwa...ya huko kama ya Arusha tu
Hahahaha tedo umetisha.... Baridi la makete litakuwa na mavumbi sana lol..... La arusha safiiii
Dady ya arusha kali pia asee
He he he...Umerudi uraiani saa ngapi wewe...?
Hahaha daughter hiyo ya Arusha unaweza hata kuoga mtoni na wala usione tofauti
Hahahahah..... Nimecheka eti kuoga mtoni lol
Hahahah ndio daughter maana kule juu mlimani tulikuwa tunaoga kwenye huo mto unaokatiza hapo Sanawari unaopita nyuma ya Mount Meru Hospitali...maana unaanzia kule juu Ilboru
watu8 kuna Lushoto (Tanga) au huku hujafika?