Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Tumevamiwa na Jeshi la Polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa CCM wa kata ya Elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha CHADEMA cha uchaguzi wa CHADEMA ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa huo kupitia CHADEMA Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.
Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa CCM Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya Elerai CHADEMA, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana CCM huyo.