Arusha: Jeshi la polisi na CCM wavamia kikao Cha CHADEMA na kukamata viongozi

Tumevamiwa na jeshi LA polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa ccm wa kat ya elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha Chadema cha uchaguzi wa Chadema ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa setikali ya Mtaa huo kupitia Chadem Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.
Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa Ccm Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya elerai Chadema, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana ccm huyo.
Tatizo la hii Habari ni ya upande Mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anakuona mleta mada
Leo ndo nimegundua kua mnaleta mada za uongo humu jf alafu kwa watu wasiojua ukwel na halisi wanaamini
 
Kusanyeni ushahidi wote wa picha na video kwa akili kupelekwa ICC ,kila likitokea jambo la unyanyasaji na mauaji ni kurekodi fasta for future use .
 
Tumevamiwa na Jeshi la Polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa CCM wa kata ya Elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha CHADEMA cha uchaguzi wa CHADEMA ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa huo kupitia CHADEMA Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.

Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa CCM Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya Elerai CHADEMA, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana CCM huyo.
Mmekuwa wapole sana, tatizo

Wameshawazoea
 
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..?

JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
Itafika wakat mtu akijigonga na geti nyumban kwake atasema ccm na polis wamesababisha mlango umgonge... yani wanaboa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumevamiwa na Jeshi la Polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa CCM wa kata ya Elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha CHADEMA cha uchaguzi wa CHADEMA ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa huo kupitia CHADEMA Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.

Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa CCM Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya Elerai CHADEMA, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana CCM huyo.
Na nyie mmezidi unyonge,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema nao waandae mapanga yao. Maana inaonekana ccm wamejiandaa kwa vita
 
Taarifa zikijakutolewa na RPC utakuta ni tofauti kabisa na mtoa mada ...kwasababu chadema wanajaribu sana kuonyesha kwa jamii kuwa always wao huo wanaonewa....utakuta hapo kuna viongozi waliovunja sheria na ndiyo maana hatua zimechukuliwa na Jeshi la Polisi
Kwa nini hii hutokea kwa tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumevamiwa na Jeshi la Polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa CCM wa kata ya Elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha CHADEMA cha uchaguzi wa CHADEMA ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa huo kupitia CHADEMA Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.

Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa CCM Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya Elerai CHADEMA, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana CCM huyo.
Continue please mr ccm(boer) beat me and cut me!!! again and again and again. I am at your disposal mr police. Tuendelee kukubali damu yetu imwagwe labda itaota!!. Mbegu moja imeshaota iko USA na ipo dunia nzima!!
 
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..?

JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
kweli jf dampo naona hata wewe umerusha takataka zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..?

JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
Acha uzwazwa wewe bunju unataka aongelee wapi? roho mbaya tu
 
Tumevamiwa na Jeshi la Polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa CCM wa kata ya Elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha CHADEMA cha uchaguzi wa CHADEMA ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa huo kupitia CHADEMA Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.

Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa CCM Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya Elerai CHADEMA, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana CCM huyo.
Acha umbea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom