Arusha: Jeshi la polisi na CCM wavamia kikao Cha CHADEMA na kukamata viongozi

Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..? JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
Ebo..kumbe kutishia kumkata mtu mapanga ni jambo dogo sana hilo!!!... kumbe ndo maana hata kwa yule Mawazo hamkuona ni vibaya kufanya vile. NAONA KWA SASA TUNATAWALIWA NA WALA WATU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..? JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
Unanitia hasira mpaka nawaza tusi gani nikutukane...Naomba niseme tu Mungu akusamehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..? JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
sasa na wewe unafanya nini kwenye dampo la chadema, au ndio umetumwa kuokoteza makombo na polepole
 
Tumevamiwa na jeshi LA polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa ccm wa kat ya elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha Chadema cha uchaguzi wa Chadema ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa setikali ya Mtaa huo kupitia Chadem Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.
Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa Ccm Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya elerai Chadema, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana ccm huyo.
Mimi nafikiri ingekuwa vizuri kama mngekuwa hamlalamiki instead mnajua wanapokaa na hata familia na ndugu mnawajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona ehh
Ni kweli kabisa ni dampo la takataka la Chadema
Mpaka jf inatia kinyaa sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio wale mliosajiliwa juzi kujaza pumba humu baada ya wakongwe kadhaa kustaafu buku 7Fc? Sasa umekosea kukubali usajili ukiwa na hali hiyo!! Ungesubiri kwanza ujifungue,maana huku hilo limimba halichelewi kuchoropoka kwa Nondo utakazokumbana nazo!! Nakushauri upumzike kwanza hadi uzae ndiyo uje!
 
Tumevamiwa na jeshi LA polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa ccm wa kat ya elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha Chadema cha uchaguzi wa Chadema ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa setikali ya Mtaa huo kupitia Chadem Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.
Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa Ccm Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya elerai Chadema, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana ccm huyo.
Watu wasiojulikana ndo hao hao, kesho mtaambiwa kajiua. Kwani siasa ni haramu
 
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..? JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
Pumbavu zako kwahyo furaha yako kupatwa taarifa za kukatwa mapanga!!
 
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..? JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
Kwani Lisu alivyosema anafuatiliwa si napo mlisema haya haya?
By the way, siku hizi hiyo ndo staili ya kamata kamata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu watu wakiieleza dunia maovu haya mnalalamika eti nchi inachafuliwa!!

Sisiem ni kama magaidi kwa sasa!!
 
Tumevamiwa na jeshi LA polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa ccm wa kat ya elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha Chadema cha uchaguzi wa Chadema ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa setikali ya Mtaa huo kupitia Chadem Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.
Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa Ccm Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya elerai Chadema, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana ccm huyo.
Kuandika hujui
 
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..? JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
Hiyo ni issue ndogo kwa maoni yako binafsi yasiyo wakilisha mawazo ya wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho mbaya wa jiwe umeshafika, Mungu ameshamchoka hakika
Hawa wauni wanaotesa watu baraka anazitoa jiwe.
Mark my point
 
Sijaelewa jambo dogo kwako ni lipi na kubwa ni lipi!? Yaani mtu anatishia kukuta watu mapanga kwako linakuwa jambo dogo? Hivi utu umewaondoka kabisa kiasi cha kuwa wanyama wa mwitu kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wapuuzi waliojivika ukada kwenye mambo ya msingi kama usalama wa wananchi ni wa kupuuzwa tu maana walisha amua kuuza utu wao kwa shekeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumevamiwa na jeshi LA polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa ccm wa kat ya elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha Chadema cha uchaguzi wa Chadema ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa setikali ya Mtaa huo kupitia Chadem Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.
Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa Ccm Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya elerai Chadema, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana ccm huyo.

Halafu watu wakisema kuhusu haya mambo wengine wanalalamika eti wamesalitiwa!!
Kwa mtindo huu wengi tu tutakuwa wasaliti.
 
Back
Top Bottom