Arusha: Jeshi la polisi na CCM wavamia kikao Cha CHADEMA na kukamata viongozi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,544
2,000
Tumevamiwa na Jeshi la Polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa CCM wa kata ya Elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha CHADEMA cha uchaguzi wa CHADEMA ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa huo kupitia CHADEMA Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.

Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa CCM Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya Elerai CHADEMA, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana CCM huyo.
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,012
2,000
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..?

JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
10,785
2,000
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..? JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
Sijaelewa jambo dogo kwako ni lipi na kubwa ni lipi!? Yaani mtu anatishia kukuta watu mapanga kwako linakuwa jambo dogo? Hivi utu umewaondoka kabisa kiasi cha kuwa wanyama wa mwitu kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,337
2,000
Tumevamiwa na jeshi LA polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa ccm wa kat ya elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha Chadema cha uchaguzi wa Chadema ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa setikali ya Mtaa huo kupitia Chadem Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.
Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa Ccm Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya elerai Chadema, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana ccm huyo.
Yana mwisho haya; na mwisho huo hauko mbali!
 
Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,337
2,000
Intelijensia ya Policcm haijawahi kufeli kunasa habari za vikao vya CHADEMA.

Kuhusu habari za mauaji ya watoto, mashambulizi ya watu, utekwaji wa watu. Kamwe haitaweza kuzinasa
walishakamatwa watu zaidi ya 20 huko Njombe kwa tuhuma za mauaji ya hao watoto. Tombe tu isije ikawa wamebambikizia kesi watu wasio na hatia!
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
75,943
2,000
Tumevamiwa na jeshi LA polisi wakiwa wamefuatana na viongozi wa ccm wa kat ya elerai tukiwa ktk kikao cha ndani cha Chadema cha uchaguzi wa Chadema ni Msingi ktk mtaa wa Mamamusa, na hatimae kuondoka na Mwenyekiti wa setikali ya Mtaa huo kupitia Chadem Mh.Yasini Selemani (Mweju).Hivi ninavyo andika tupo Kituo kiku cha polisi Arusha tukisubiria hatim take kwani wamesha muweka Mahabusu.
Cha Kushangaza zaidi ni Katibu wa Ccm Kata ya Elerai (Banzi) kutishia kwamba atuma vijana wake wamkate Kate kwa mapanga katibu wa kata ya elerai Chadema, huku Polisi zaidi ya was 5 wakimangalia tu bila kumchukulia hatua mwana ccm huyo.
Nchi imefika patamu sana !
 
misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
10,519
2,000
Acha kupanic, kuna mtu kakatwa mapanga? Hivi kwa hiyo ww hata ukipingana na mtu tu unakimbia mtandaoni..? JF these days imekuwa kama dampo la chadema, yaani issue ndogo tu keleleeee sijui mapangaa sijui nn? Hv unajua unachovukisha humu kwa speed hivyo?
Facts mkuu.

Wanaleta utoto sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom