Niliamua kutumia week end yangu na marafiki Arusha mjini tukitokea Dar, kwa kifupi nimefurahishwa sana na maisha ya wakazi wa Arusha na hizi ndio tofauti zao kubwa na na sisi wa Dar,
1. Wanapenda sana quality na sio quantity- hata ukiangalia magari yao wana ya pim vizuri sana, wanayaosha yana ng'aa huku dar gari lina gongwa mtu anatembelea hata miezi 2 hivyo hivyo tu. Hii inaonyesha hatuthamini mali zetu, magari machafu sana. Min super market zao zinatoa huduma nzuri sana hotel zina excellent customer care na wako proffessional uki compare na hizi za Sinza Majanga.
2. Maadili-tulienda club D kilichotuvutia watoto/teenagers/vijana wanadate wao kwa wao. Hapa Dar ni opposite kabisa unakuta visichana vidogo kabisa viko na ma babu zao na ma baba. Pia ni nadra sana kukuta wazee disco. Watu wa makamo niliona 2 tu. Mtaani watoto wanamadili wanasalimia vizuri wana afya nzuri na wanajishugulisha. Dar mtoto akikusalimia ujue anakuomba hela.
3. Vijana wana jiamini sana kuzungumza kutenda na hata kutembea kikakamavu.
4. Bar maid- wanavaa pete za ndoa na wanavaa kiheshima sana huwezi kulinganisha na Dar ukimwona bar maid kavaa pete ya ndoa nipigie nije nikulipe vinywaji vyote.
Mapungufu,
Wanapenda sana maandamano, nilishuhudia mabishano kidogo tu likaja kundi la vijana wakaandamana kuelekea kijenge kumpiga mwenzao alietoa lugha chafu.
Viroba vimeathiri kwa kiasi fulani afya za vijana wa ungali limited na maeneo mengine.
:wave:ha ha ha... NGULI next time ukija chuga tafuta wenyeji wakuonyeshe mitaa, nimeipenda hiyo ya ungalelo.....kuhusu vijana wa kijenge usijaribu kuanzisha bifuuu maana kisasi hata miaka 5...
Hehehe, ngoja nitetee wakazi wa jiji la karaha:
1-magari yanaoshwa, sema wanaishi madimbwini na yanajaa maji kila wakati whether ya mvua ama ya chooni ama ya majirani kufua. Jiji la arusha ni safi na barabara hazina mahandaki. Hawagongwi ovyo manake kila mtu anaendesha na akili timamu.
2-vijana wa arusha wana hela kuliko hata wazee. Kwa hiyo mabinti hawahitaji kujibanannisha na vibabu kama kina reginald mengi ili kula bata town. Lol. (Na wamama wa arusha wanafikishwa wazee wao kwa hiyo hawahitaji kubanana na serengeti boys. Wazee wa arusha wanakula trooper na sio chipsi zege, they work hard to get money na sio ujanja ujanja wa dsm unaosababisha uzembe)
Sawa mkuu nakuja tena huko after two weeks nampango wa kuhamia Arusha nimepapenda sana. Hali ya hewa nzuri na chakula kiko fresh sana tulienda big L kula nyama ya mbuzi ya foil ni eneo fulani kwa mbele kuna round about yenye jengo zuriii la NSSF kama sikosei. Natafuta kiwanja maeneo ya Ngurudoto jamani ni kuzurii ever greeeen. Arusha is blessed.
mkuu next time tukutane hapo millestone park then tuende kwa moromboooo kula mbuzi safiiii!
...Jomba Karibu sana huku zaidi ya nchi huru !!!
next time kunalikitu linaitwa milestone pande za sakina halafu hapo big L ulizia Picnic bila kusahau Philips gorofani
Arusha my City,
We are leading for tourist in Africa...
Umenikumbusha home,its very true Dar is full of mess all overNiliamua kutumia week end yangu na marafiki Arusha mjini tukitokea Dar, kwa kifupi nimefurahishwa sana na maisha ya wakazi wa Arusha na hizi ndio tofauti zao kubwa na na sisi wa Dar,