Arusha halisi ilivyo na watu wake

Mbona hujaongelea kuwa arusha inaongoza kwa vijana wanaovuta bangi na ujambazi
Nitajie

mara ya mwisho kutokea uhalifu wa ujambazi Arusha ni lini?

-Mara ya mwisho kutokea kwa uhalifu wa ujambazi Dar ni lini?

-Halafu nitajie mara ya mwisho kutokea kwa uhalifu wa ujambazi Mwanza

Arusha watu tunaishi kwa amani sijui huo ujambaz unaosema wew upo huku Arusha ni upi, na dar juzi waliuwa majambazi ukienda mwanza juzi majambazi wameuwawa au huko ni ARUSHA? Jiongeze bro!

Wasioitakia meme ARUSHA na waeneza propaganda walisha ku brain wash kuhusu ARUSHA!! Arusha karibia kila kijana mwenye umri wa miaka 30 anatembelea Range tofauti na DAR na MWANZA ambao ni wezi wa mali za UMMA!
 

Aisee na wewe ni walewale tu waswahili waiza nchi acha sisi tuendelee kuisifia arusha yetu
Arusha ni kwetu nitaipenda milele
Na iko siku kaskazini tutapata uhuru wetu ikiongozwa na arusha
 
Mimi naipendea hali ya hewa...hasa kipindi cha baridi....huwa najisikia raha sanna zaid ya nilipo dar.....lkn ntaendelea kuipenda zaid maana ninehamishiwa arusha kazin.....naamin ntaipenda zaidi.....naamini ntaoa pia Arusha..Mungu anisaidie.
Kwa sasa ni baridi mda huu ninapoandika ni 19'c...karibu mkuu hapo kwenye kuoa Mungu akutangulie
 
wanaume wa arusha kwa umbea na majungu mmezidi.....mnawazidi hadi wanawake zenu
 
Aisee na wewe ni walewale tu waswahili waiza nchi acha sisi tuendelee kuisifia arusha yetu
Arusha ni kwetu nitaipenda milele
Na iko siku kaskazini tutapata uhuru wetu ikiongozwa na arusha

Hongera kwa kuamua kuishi Half London..

Machaliii ya araaa bana
Washamba watupu ninyi vijana wa arusha.
Mnaishi maisha ya ajabu sana huko arusha kama digidigi kule arusha national park.
Hivi hamjui kwamba hata idadi ya watalii inapungua huko kijijini arusha sababu ya uhalifu hapo arusha., kutwa mmeweka masime viunoni mjini kama mnawinda porini.
Mmeshavimbiwa banana mnaanza kusumbua watu hapa JF.
Na wote mnaotete huu upuuzi ni malofa watupu mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia huo utoto wenu.
Arusha ni moja ya mikoa yenye njaa kila mwaka na serikali inaingia gharama kubwa kuwahudumia huko.
Tumieni huo mda kusaidia wenzenu kule maporini wanaoishi kama ngedere longido, makuyuni, karatu , loliondo n. k waepukane na mila za kipuzi na njaa sio mnakuja hapa mnatapika mamirungi na mabanana mliyovimbiwa
 
Me ni mtanzania sina habar za kizamani na kishamba kama hizo, mna ubaguzi sana huko arusha na ndio mana hamuaminiani hadi mnatembea na masime viunoni

Niaje jombaaa kama VIP na wewe anzisha Uzi wa mkoa wako tuachie arusha yetu.
 

Mmmh Mbona Kama umekwazwa Mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jenga hoja km mtu mzima naona unaongea kwa chuki tu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…