Arusha halisi ilivyo na watu wake

Sure bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha kiukweli Ni pazuri
Tatizo lake mjini pamejibana sana yaani kamji Ni kadogo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani umejibana kama unavyosema, check city ilivyo uniambie kama pangepatikana miti city center labda kujibana sifahamu maana yake lakini usingeona hiyo greenish kama pangetight kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Arusha Ni padogo sana japo ni kuzuri
Ni padogo tofauti na miji mingine mashuhuri hapa Tz...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujui chochote kuhusu Arusha ..kwanza ujawahi hata fika chuga wewe .. unasema chuga padogo??? Hahah uuuwiii

Siku ukija A town nambie nikutembeze ...utazunguka siku nzima na uhakika ni kwamba hutaimaliza.

Ova!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…