mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,602
Wewe ulizaliwa na shemale? , kwani umeambiwa wadada hawana reasoning capacity.Kama nimekosea utanisamehe sana ndugu yangu wewe ni jinsia gani kwanza nisije nikakulaumu kumbe wewe ni mdada wa kiswahili..Kama kweli wewe si mdada tena wa uswahilini nisamehe kwa hilo.
wee chalii hamna kitu unajua ase ..ungekuwa A town ungeshaolewa ...Umeshachanganyikiwa.........
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
nipo hapa nawasubiri kwa ham.
Mtanyooka tu ninyi misukulewee chalii hamna kitu unajua ase ..ungekuwa A town ungeshaolewa ...
Viwanja vipo hadi milioni 5, pale njiro sababu ya ushamba wenu nakupenda kusifia ujinga ndio mana hamjui kitu.
Tunajua lengo la nyuzi zote zinazongumzia arusha ila mshamba kama wewe hauwezi jua chochote.
Halafu niandalie mboga inaitwa mnafu nasikia mnalima sana hapo kijijini arusha.
CHUGA a. k. a CHURA noma sana
Huyo ni wivu tu unamsumbua achaneni nae me nipo Mwanza lakini Arusha ni level nyingine na ninapapenda Arusha sana sababu naweza kujenga na kuishi vilevile na huo ubaguzi labda kauona yeye watu wa kaskazini wachapa kazi sana majungu na umbea hawana.
Na ninadhani ndio kitu walipotofautiana sababu huyu anaonekana ana majungu mno sijui ni wa kike?
I [emoji173] Tanzania wote wamoja.
We msukule wa arusha hauna lolote, kamkanye boss wako.
hao ndugu zako wa arusha ndio wanaleta ubaguzi, fatilia nyuzi mbalimbali hapa JF wanazoanzisha makusudi kwa kujiona wao ndio bora kuliko watu wa mikoa Tanzania.
Wanapanda kukuza ukanda na ukabila na ndio lengo langu kuingilia nyuzi zao na kuzivuruga na sitoacha hadi watakapoacha huo utoto wao wa ubaguzi.
Umeshamaliza bangi yako?
Avatar yako tu inaonesha namna gani kichwani ulivyo mtupu, halafu eti ndio mnajiita wajanja wa kijijini arusha.
Nitaendelea kuchafua nyuzi zenu hadi mtapike nyongo na mamirungi mliobwia hapo kijijini arusha.
Hamna lolote hapo arusha mmekalia ubaguzi, ukanda na ukabila ni kama wachawi hivi hapo kijijini arusha msivopenda maendeleo ya mikoa mingine Tanzania.
Umeanzisha hii ishu, acha nimalize msukule wewe.
Usisahau kuweka picha za mtaa wa Ungalimitedi mkuu ili watu wajionee maisha halisi ya watu wanaokaa hapo
Wapo waliopona na wanashuudia mpka.leo na.bdo wapo wanaokwenda kupiga kikombe.....imani yako ndo inayokuponya..Arusha ndo sehemu pekee alipotokea nabii fake hadi mh Mkuu wa kaya alienda kunywa kikombe cha babu
Haahahahahahhahhaa!! Hapo umewashika pabayaUsisahau kuweka picha za mtaa wa Ungalimitedi mkuu ili watu wajionee maisha halisi ya watu wanaokaa hapo
Arusha walikupiga mitindo huru nini
Ndio kazi yake aliyopewa na ccm hiyo... Mpaga majungu wa ccm mbeya
Kuzaliwa porini kusikufanye uwe na hasira hivyo.. Hasira ni chama chako kutoswa kila kona ya Arusha
Pumzi yako ndogo sana we msukule wa kijijini arusha, unataka nikuongezee mfadhaiko wa akili ulionao.Hahahahaha biashara ya blog imekuchanganya kabisa mpaka unatoa mapovu hovyo.. Vipi umepata hata matangazo?? Au bado unasaka mwaka wa pili sasa.. Maisha yakikushinda haina haja ya kuchukia wengine.. Unauumiza moyo wako tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo wanataka kuufanya mji wao Arusha kuwa ni mzuri sana kuliko sehemu zingine... Tuma picha za hiyo mitaa na barabara zake pamoja na ile migomba!!Haahahahahahhahhaa!! Hapo umewashika pabaya
Ungalimii.. ngarenaro.. yaan ni shida tupu.. hasa zile mbavu za umbwa ukiziona ni huruma.
..aisee!!
Mliambiwa huu uzi hauna lengo la kuilinganisha arusha na mkoa wowote hizo ligi mmeanzisha wenyewe..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo wanataka kuufanya mji wao Arusha kuwa ni mzuri sana kuliko sehemu zingine... Tuma picha za hiyo mitaa na barabara zake pamoja na ile migomba!!
At least wana vyoo sababu wengine wapo milimani wanatumia rambo kujisevia.Haahahahahahhahhaa!! Hapo umewashika pabaya
Ungalimii.. ngarenaro.. yaan ni shida tupu.. hasa zile mbavu za umbwa ukiziona ni huruma.
..aisee!!
Naona manyoka wa Arusha.. wame lala mbele.. kweli umewanyoosha.. duh!! [emoji188] [emoji125]Mtanyooka tu