Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,891
yah ishaanza NHC nawapongeza kwa hili.....Ishaanza au bado man
Mkuu hiyo labda ni TGT ndani ya burka, hapo ni ulaya ndani ya tz, kama sio member unatakiwa kulipia sio chini ya 10,000 getini ndipo utinge ndani, na unaweza kujikuta uko mwenyewe ngozi ya kiafrica, pametulia hakuna mfanoMkuu kuna hotel moja ipo huko mitaa ya kisongo,mbele ya Burka(nafikiri opposite na uwanja wa ndege),kuna hotel moja jina lake limenitoka hata timu ya simba waliwahi kwenda kuweka kambi kwa wiki mbili hivi.Nasikia imetulia laana..Ukifika ni kama mbele mazima,yaani ni fulu! Tanzania mzima hamna!Hebu fanya mishe uweke picha zake hapa watu wapagawe...
Hostel za wapi hiziReal Estate in Arusha is next level jooh
Apartment hizo za NHC kama ziko kalolen( makao mapya)Hostel za wapi hizi
Ishaanza au bado man
yah ishaanza NHC nawapongeza kwa hili.....
Dah BG up sana. Sema Serikali yetu ililala sana mikoa kama Arusha, Kilimanjaro, mbeya, mwanza,Dodoma.Tayari NHC washaanza.. Viwanja vilishapimwa.. Umeme na maji kwa ajili ya kusupport ujenzi vimeshafikishwa..
wanaume wa arusha kwa umbea na majungu mmezidi.....mnawazidi hadi wanawake zenu
nani kakuambia mi ni wakiume?Mwanaume wa Dar katika ubora wako...
Man mbona hii project inatangazwa sana mpaka kwenye radio.Vp iko under construction?
Wanakuja huko kufanyaje tena. Man me nipo kwenye sector ya tourists na mambo ya acomodation mbona matajiri wa Dar na mawaziri ndio wateja wakubwa wa malodge ya Arusha usiongee vitu kwa ushabiki chalii.Arusha ni shamba, watu wanavuna wanakuja kutumia Dar.
Nimeona tangazo la Kibonde mkuu tayariMan mbona hii project inatangazwa sana mpaka kwenye radio.
Mbona threader ameeleza wazi hataki mashindano. Mbona mnakua na kichwa ngumu sana kukubali Arusha without comparing with any kwanba inaeleweka.Fanyeni mbwembwe zenu ila mwisho wa siku Damsalam ndio kila kitu aarif
Yaani katika malodge na mahotel yaliyoko Arusha mleta mada ajayafikia hata nusu Arusha kwenye lodges na hotels apambane na Nairobi hapa bongo hamna.Mkuu kuna hotel moja ipo huko mitaa ya kisongo,mbele ya Burka(nafikiri opposite na uwanja wa ndege),kuna hotel moja jina lake limenitoka hata timu ya simba waliwahi kwenda kuweka kambi kwa wiki mbili hivi.Nasikia imetulia laana..Ukifika ni kama mbele mazima,yaani ni fulu! Tanzania mzima hamna!Hebu fanya mishe uweke picha zake hapa watu wapagawe...